Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Tabia za kishamba hizo.unataka uabudiwe wewe mungu? Kwahiyo asipoabudiwa ndo atafanyaje sasa.
Majibu wanayo wakina January, Ngereja na Nape wanayajua kawaulize watakupa jibu.
 
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.

Acha utoto dogo, kuna taarifa yoyote rasmi ya chama cha upinzani kumshabikia yoyote anayempinga Magufuli? Huku mitandaoni ni ofisi ya wapinzani? Nyalandu ni mpinzani au yuko upinzani wa kuhitilafiana na ccm? Kwa taarifa yako hakuna mwanaccm yoyote anayeweza kuishi nje ya ccm na akatoboa maana wote hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.

In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.

Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.

Salary slip

hapa aliyeumia ni nyie wenye vinyongo sana

ulichoandika hapa ni wewe kujipa faraja na kujipa moyo tu

Magufuli HANA anachoogopa na hamuhitaji Nape kabisa!!!!

alichofanya Nape ni ustaarabu wa kawaida kabisa

JPM hatetereki ndugu kama ambavyo mmenyooka nyie, JPM huwa hageuki

WEWE TUKANA HUMU, KEJELI, ANZISHA KILA THREAD KWA JPM unapoteza muda wako
 
Hahaha
Kwa hizi dalili Magufuli anaenda kushinda mtandaoni 95%

Toka mitandao imeanza, ccm haijawahi kushinda huku kwakuwa nguvu za vyombo vya dola haziko huku. Hakuna mwanachama yoyote, narudia tena, mwanaccm yoyote anayeweza kufanya siasa nje ya upendeleo wa vyombo vya dola. Kama yuko mwanaccm anayemudu siasa nje ya vyombo vya dola mtaje.
 
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.

HALAFU HAWANA AIBU KABISA

kuna kipindi walimchukia sana Odinga, na kumpa shavu Uhuru

juzi uhuru kaja mpaka chatto na Uhuru anaonekana close zaidi na JPM

macho yakawatoka

ni kuwa hawana ajenda na faraja yao ni kuona rais anatukanwa

ni wa kupuuzwa kabisa hawa wapinzani
 
"Ndugu wakigombana Chukua Jembe Ukalime" Wahenga katika misemo Yao walikua na akili nyingi.

Hii iwe Funzo kwa wapenzi na washabiki wa CHADEMA ambao kutwa kuchwa walikua hawaishi kushabikia hekaya za WanaCCM.

CCM inapofika suala la Maslahi Yao huacha yote na kurudi kwenye Maslahi ya chama Chao.
 
Kuna kuomba msamaha na kuna kusamehe...
kitendo tu cha kuomba msamaha mbele ya TV ni kuzidi kudhalilishwa

mioyo ingekuwa ina vioo tungeona mengi ya ajabu...

mtu akikushikia bunduki lazima umuombe msamaha na wala sio lazima umaanishe
Kwani kaomba msamaha mbele ya TV???
 
Acha utoto dogo, kuna taarifa yoyote rasmi ya chama cha upinzani kumshabikia yoyote anayempinga Magufuli? Huku mitandaoni ni ofisi ya wapinzani? Nyalandu ni mpinzani au yuko upinzani wa kuhitilafiana na ccm? Kwa taarifa yako hakuna mwanaccm yoyote anayeweza kuishi nje ya ccm na akatoboa maana wote hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.

Umenena wakiwa nje ya mfumo rhumba Kali.Hivyo lzm washindane kulitaja taja jina La mungu wao mtoa riziki wasife njaa.Mwanadamu ni dhaifu mbele ya pesa.
 
Sema jiwe Amejua bora Wapinzani wanamkosoa lakini hawaoneshi Chuki dhidi yake ila hawa ambao wanajidai Wanamsupport anawapa na vyeo kumbe Nyuma ya pazia wanapanga kumuondoa ooho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Jiwe anaemsupport asilimia zote ni Bashite tu..
 
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.

In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.

Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Nafikiri hilo halihitaji PhD kufahamu, na liko within human nature. Kila kiumbe hai kwa njia moja ama nyingine anategemea kiumbe/viumbe kingine katika jambo fulani.
 
Back
Top Bottom