jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Majibu wanayo wakina January, Ngereja na Nape wanayajua kawaulize watakupa jibu.Tabia za kishamba hizo.unataka uabudiwe wewe mungu? Kwahiyo asipoabudiwa ndo atafanyaje sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu wanayo wakina January, Ngereja na Nape wanayajua kawaulize watakupa jibu.Tabia za kishamba hizo.unataka uabudiwe wewe mungu? Kwahiyo asipoabudiwa ndo atafanyaje sasa.
Ninasikia katika kujitetea kwake Nape kamuangushia shuzi shetani.
Hivi yule aliye mtishia na pyu! pyu! alipatikana?
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.
Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.
Kumbe hawaibi kura huwa wanapigiwaKura za watu wa kusini zinahusika hapa.
Ila safi sana wanyooshe maana walikuwa wanajifanya wao ndo wenye nchi.
Hahaha
Kwa hizi dalili Magufuli anaenda kushinda mtandaoni 95%
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.
Ila hata wewe ulituona tupicha picha anafanyia wapiMaderu alishasema kuwa jamaa hajulikani anafanyia idara gani
Mbona zito alifikuzwa chadema inamaana mbowe siyo mvimilivuMwigamba mbona alifukuzwa chadema? Au umesahau?
Kwani kaomba msamaha mbele ya TV???Kuna kuomba msamaha na kuna kusamehe...
kitendo tu cha kuomba msamaha mbele ya TV ni kuzidi kudhalilishwa
mioyo ingekuwa ina vioo tungeona mengi ya ajabu...
mtu akikushikia bunduki lazima umuombe msamaha na wala sio lazima umaanishe
Kamanda Lissu anaenda ACT utamfuata?Ukitaka kula na kipofu usimshike mkono , Membe ni hatari sana !
Acha utoto dogo, kuna taarifa yoyote rasmi ya chama cha upinzani kumshabikia yoyote anayempinga Magufuli? Huku mitandaoni ni ofisi ya wapinzani? Nyalandu ni mpinzani au yuko upinzani wa kuhitilafiana na ccm? Kwa taarifa yako hakuna mwanaccm yoyote anayeweza kuishi nje ya ccm na akatoboa maana wote hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola.
Nafikiri hilo halihitaji PhD kufahamu, na liko within human nature. Kila kiumbe hai kwa njia moja ama nyingine anategemea kiumbe/viumbe kingine katika jambo fulani.Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini, na Nape nae anamuhitaji Magu ili ajiweke katika nafasi nzuri ya jina lake kupita kama mgombea 2020.
In short,kila mtu hapo anamuhitaji mwingine kuelekea 2020.
Ni kweli tunajua CCM hawategemei sanduku la kura kushinda, ila ni ukweli pia wangependa zaidi washinde kupitia sanduku la kura.