Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Hii style ya siasa za umafia aliufanya Mobutu lakini mwisho wake ulikuwa mbaya sana.
Alicheza na mawazo ya wapinzani wake, ukikataa pesa unakiona cha mtema kuni.

Ila wapinzani hawakumtoa madarakani,Kagame&his allies ndio walimng’oa mobutu.
 
Boss Hivi punde Protocol Mkuu,
Haukuona wakati wa kuondoka, alipanda kwenye Ndinga aka Gari lake??? !!!
Naona Ngosha kacheza Karata zake, hapo ni mahesabu ya 2020.

Hivi nape hajawai kukana zile voice notes kweli....au kumbukumbuka zangu zinaenda harijojo???
 
Asema tu kuwa wote wenye maslahi ndani ya ccm hawawezi kuendesha maisha bila ccm. Ndo maana wazee wazima wanaambiwa wanawashwawashwa wanakenua meno tu...hukuona MZEE mwinyi alivyong'aka baada ya marope kutumia picha wakiwa pamoja???
Maneno ya mfa maji hayo. Kumbuka Siasa ni maisha. Luna watu ndani ya CHADEMA ni Waheshimiwa lakini Mwenyekiti akiwataka wawe ma-House Boy kwake watatii, narudia siasa ni maisha.
 
Maneno ya mfa maji hayo. Kumbuka Siasa ni maisha. Luna watu ndani ya CHADEMA ni Waheshimiwa lakini Mwenyekiti akiwataka wawe ma-House Boy kwake watatii, narudia siasa ni maisha.

Mbona Zitto alikataa kuwa house boy...we Jamaa acha hzo kuna watu na misimamo yao bwana....acha hao wachumia tumbo wakamlambe miguu Jiwe...MFA maji umesikia mm nataka cheo ccm...we vipi aisee????
 
Mkuu utachoma mafuta kwenda kuomba msamaha kwa mtu bila kumtendea kosa?
Wamejidhihirisha wazi kuwa sauti za kashifa zilizozagaa mitandaoni ni za kwao.
Ndio! Tusi au kosa likowapi katika sauti zile?
 
Maneno ya mfa maji hayo. Kumbuka Siasa ni maisha. Luna watu ndani ya CHADEMA ni Waheshimiwa lakini Mwenyekiti akiwataka wawe ma-House Boy kwake watatii, narudia siasa ni maisha.

Hilo ndani ya cdm halipo maana mwenyekiti wa cdm hana nguvu za dola.
 
Waliweka video ili kuuonyesha umma kwamba Nape hana special treatment yoyote hapo ikulu ni boya tu na tumemtembeza kwa miguu.

Ni nani asie jua Ukuu wa Mamlaka na Nguvu alizo nazo Mh Rais ?..

Palikuwa na haja gani ya kufanya hivyo kwa Mtu mdogo kama Nape ?

Huu ndio alio uita Ushamba wakati mmemdukua .
 
Mbona Zitto alikataa kuwa house boy...we Jamaa acha hzo kuna watu na misimamo yao bwana....acha hao wachumia tumbo wakamlambe miguu Jiwe...MFA maji umesikia mm nataka cheo ccm...we vipi aisee????
Zitto mwenyewe anapenda amiliki House boy , wangewezaje kukaa pamoja? Au hauoni chama chake.yeye ndiye wengine ni house boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…