Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Wana sasa wote wanafiki tu awe chama tawala au upinzani,wanasiasa wetu wanategemea siasa kuishi hawana other sources of income, so asipokuwa kwenye system anakufa njaa inambidi ajitoe akili tu
 
ya kumwibia kura Lowassa 2015 na Slaa 2010 hajatubu, wala hatatubu na mwisho wake ni ziwa la moto
 
Unadhani Kijana haogopi kuwa targeted na wasiojulikana?

Unadhani Kijana haofii kuangukia pua uteuzi wa jina kuwania jimbo 2020?
 
Warudi tu na mwisho wa siku wabadiri katiba ili tuendelee kuinyoosha nchi mpaka wananchi watakapochoka wenyewe na kuamua sasa basi.
 
Nyerere hakupenda glorification kwa kiasi hiki, cha Jpm, Hassan mwinyi iko down to earth leader, Pinda n.k huyu Raisi anataka sifa kupitiliza
Nyerere hakupenda sifa?!

Pale Iringa ukiwaambia Pinda hapendi sifa watakushangaa!!!

Unadhani kwanini mstaafu Mwinyi aliitwa mzee Rukhsa?!
 
Hata Yuda baada ya kumsaliti Yesu ali haha na kutaharuki huyu jamaa amekuwa mwehu. Ni lini amekaa Ccm huyu mkatwa mkia?
 
Hii drama inahitaji ujitoe ufahamu kweli kweli! Hivi ukiambiwa mshamba kwa mfano, then ukaambiwa sorry! Inanaana unakuwa sio mshamba tena!
Ushamba ni mzigo. Kinachoonekana nikujaribi kuisambaratisha ile ngome ya BM hasa kuelekea 2020.
 
Wapiga zumari kama wewe ni watu very funny kwa jina linguine ni comic characters sasa wapinzani wajiandae kisaikolojia kwa lipi? Kwani wapinzani wao wanapenda watu wazulumiwe?
Watu wakifanyiwa mambo nzuri ndiyo furaha ya kila binadamu.
Nyie comic characters ni dizaini ya wale watu ana mnunulia McKee nguo anataka watu wamsifie ana mtunza McKee wakati ni wajibu wake,!
 
Hii inaonesha Tanzania tuna watu wa wanamna gani! Jinsi gani watu walivyo vigeugeu wasiyo jua wanacho simamamia na hao ndiyo viongozi wetu, dah! Nawaonea huruma sana mnao panga foleni kwenda kuwachagua hao wanao itwa viongozi.
Wanasiasa “wawili watatu” wanaobadili gia angani kila siku hawawakilishi mawazo na mitazamo ya “watanzania” wooote hapa.
Disappointment ni kwa wale mashabiki maandazi wa pande hizi mbili and all their political di*k riders.wakati wao wanaumia wasijue pa kushika,these politicians wanakua wanacheza game walioi plan kitaaambo.Fu**k Poli-tricks!
 
Sasa Mkuu, CHADEMA hapo wanahusika vp??
 
Naona uwanja wa vita umekuwa mgumu kiasi kwamba Battalion Commander anaanza kuludisha Comrades aliowastaafisha kwa kusema kuwa wamezeeka, hawana msaada nk!,aliwastaafisha na majukumu yao akawapa watoto aliodhani watamfaa sasa uwanja umekuwa mgumu imebidi aludishe wanaojua vita lakin ili kuficha ukweli anatuambia kuwa comrades ndio wanaomba kuludi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…