Wengine ndiyo walikiweka kiti cha maungamo pale kilipo.msamaha lazma waombe na bado kuna wengine pia wataenda kuomba msamaha
hii ni kutokana na kale kamsemo kasemavyo"Mwisho Wa Ubaya Ni Aibu"
Hujalala mamaa hebu acha siasa katumikie ndoa yako kitandaniUle masamaha wa Nape ndiyo matokeo ya kuapishwa kwa Diwani. Si huyo tu, nisikiavyo na wastaafu wenye heshima kubwa wamo ndani. Sasa sijui watakaribia kiti cha maungamo!
Honeypot technique hii ! Ukiingia kingi unaliwainaonesha upo single kama mm hebu njoo inbox tuyajenge[emoji41]
Tangu lini?Kinana wapi sasa ? Kinana has nothing to lose. He is in his lovely country "Canada"
Mwanasiasa machachari sana na aliyezaliwa na kukulia ndani ya CCM,najiuliza mpaka muda huu ilikuaje hadi akaenda kumuomba msamaha Rais JPM kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu kati yake na Membe ya kumkashifu JPM, ilihali mshirika na swaiba wake Membe kagoma kufanya hivyo?
changanua akili bwana mdogo acha kua goigoi wa akili.Nape ni Membe?
Akili zao ni sawa? Nafasi zao je?
Utashi wao unalingana?
Malengo yao vipi?
Nape ni Nape. Maamuzi yake ameyafanya kwa namna anavyoona yeye itamfaa. Vivyo hivyo kwa Membe
Hii ni topic ya discusion kweli?Mwanasiasa machachari sana na aliyezaliwa na kukulia ndani ya CCM,najiuliza mpaka muda huu ilikuaje hadi akaenda kumuomba msamaha Rais JPM kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu kati yake na Membe ya kumkashifu JPM, ilihali mshirika na swaiba wake Membe kagoma kufanya hivyo?