Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Yeyote yule atakayekwenda kuomba samahani kwa huyo nduli na dikteta basi mtu huyo HAJITAMBUI.
 
Ule masamaha wa Nape ndiyo matokeo ya kuapishwa kwa Diwani. Si huyo tu, nisikiavyo na wastaafu wenye heshima kubwa wamo ndani. Sasa sijui watakaribia kiti cha maungamo!
Hujalala mamaa hebu acha siasa katumikie ndoa yako kitandani
 
2020 yeye ataomba msamaha taifa zima kutokana na taarifa zake kuvuja namuonea huruma sana
 
Salute kwa waliovujisha sauti zile, Mungu awabariki sana. Adui ni wa nyumbani mwako, Magu apokee samahani zao ila akae kijanja sana, maana hao ni wahaini, pia kuna wengi hawajarekodiwa mazungumzo yao maovu na bado hajawatambua akae chonjo huko ccm. Mimi binafsi nampenda sana rais wangu na naumia sana kuona genge alilopo ndani yake linamhujumu
 
Ndo wale wale ,hakuna mpya hapa,wanatufanyia maigizo tuu.Lengo nikutufanya wapinzani wawapende baadhi wafuasi wa CCM ili hatimae kuni la Upinzani lipungue na lipoteze muelekeo.
1568617622624.png
1568617622624.png
 
Mwanasiasa machachari sana na aliyezaliwa na kukulia ndani ya CCM,najiuliza mpaka muda huu ilikuaje hadi akaenda kumuomba msamaha Rais JPM kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu kati yake na Membe ya kumkashifu JPM, ilihali mshirika na swaiba wake Membe kagoma kufanya hivyo?
 
Nape ni Membe?
Akili zao ni sawa? Nafasi zao je?
Utashi wao unalingana?
Malengo yao vipi?

Nape ni Nape. Maamuzi yake ameyafanya kwa namna anavyoona yeye itamfaa. Vivyo hivyo kwa Membe

changanua akili bwana mdogo acha kua goigoi wa akili.
 
Mwanasiasa machachari sana na aliyezaliwa na kukulia ndani ya CCM,najiuliza mpaka muda huu ilikuaje hadi akaenda kumuomba msamaha Rais JPM kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu kati yake na Membe ya kumkashifu JPM, ilihali mshirika na swaiba wake Membe kagoma kufanya hivyo?
Hii ni topic ya discusion kweli?
Kiswahili kuwa dominating language imetusaidia mambo mengi, kuanzia kiusalama wa taifa na pia hata kufunika ujingawetu..
Wageni wangekuwa wanaelewa mawazoyetu sijui tungewekwa kundi lipi duniani.
Nimemaliza
 
Nape ni mwanasiasa... Na wanasiasa wote wapo kama maji... They try as much as possible kutokuwa na shepu, rangi wala harufu...
Mimi nililelewa kuamini kuwa adui yako ni adui yako tu atakama atageuka kuwa rafiki... regardless of the scenario...!!
Lakini kwa kuwa watu wanapenda kujimwambafy basi unawaachia wayaone wenyewe!!
 
Haya bwana Nnape. Hatutashangaa ukimgeuka mama na kwenda Ikulu kuomba msamaha. Kama KINYONGA babu....
 
Back
Top Bottom