Tetesi: Nape Nnauye kuhamia CHADEMA?

CHADEMA kawaida yao ni kuchukua "ma-reject". Mimi sioni ajabu, aende tu maana hatakuwa wa kwanza wa mwisho kuhama.
 
Aondokeeeeee .aliondoka Lowasa sembuse huyo dogo CCM cyo ya kutishwa na kuonyeshwa njia .
 
Watatoana ngeu walahi! Nape mkorofi sana!
 
CHAMA HAKIPASWI KUMKATAA MTU YEYOTE KUJIUNGA NACHO IKIWA ATAFUATA UTARATIBU WA CHAMA.
LAKINI KUMPOKEA MTU AMBAYE ALIKUWA ANAKISHUTUMU CHAMA HICHO NA VIONGOZI WAKE NA KUMPA KIPAUMBELE KAMA NI MTU ATAKAYEWAVURUGA KULE ALIKOTOKA, NI UFINYU WA KUFIKIRI.
 
Alafu pia kiukwel huyu kijana anapita wakati mgumu sana kimawazo. Anapaswa kuwa mpole asije kurupuka nakupoteza kabisa. Kiuhalisia hata akitoka ndani ya chama bado ccm watashinda maana yeye mwenyewe ajuwa siri ya chungu. Mbaya zaidi atafupisha uhai wake maana anakiapo chakuto kutowa siri japo yupo pia kwenye list yakushughulikiwa.
 
Nape akijigamba yeye ni mchezaji mzuri kwenye siasa. Ukweli, Nape hajui siasa kama anavyoamini. Hajui tabia za Watanzania?

2020 ndio atawajua Watanzania kupitia wana Mtama!
 
haya ni mawazo yako mwenyewe au ni mfanyakazi wa kazi maalum, hutumii weledi kwa kazi hiyo, hovyo kabisa.
 
Kichwa cha habari tetesi, habari taarifa ya uhakika. Lipi ni lipi?
 
Hii post ni ya kimajungu na fitina na imekusudia wazi kumchoma nape. Ni kama Bashite yupo uwanjani anaicheza ngoma ya kumfitinisha na Nape na viongozi wake.

Lakini Mungu yupo na anaowaona na hakuna baya lisilo na mwisho.
 
Duh, umeandika mambo mengi ya polojo polojo tu. Utafikili kuna mtu kakutuma ufanye hivyo kwa kulipwa. Pole sana.
 
CCM wote ni waovu!. Hakuna mwenye uchungu na nchi. Hakuna awazaye maendeleo. Hakuna anayejali taifa. Wote wamejaa ubinafsi, ulaghai, uhuni na ubabe. Naungana na wewe. Nape huyu huyu ndiye aliyesema ccm itatawala hata bila ridhaa ya wanachi. Na haya ndiyo matoekeo yake yanaonekana dhahiri.

Ccm haiwezi kujenga taifa, haiwezi kusaidia mwananchi, na haiwezi kuaminika na haina uwezo wa kujeng anchi kwa hali yoyote. Imejaa rushwa, ubabe, utekaji, ubaguzi, chuki, mauji ya watu, wizi na hujuma kwa taifa. Hakuna tumaini lolote kwa ccm.

Wale walioko ccm, ni Watanzania. Wanapofumbuka macho, wakaona uovu wao, wakaamua kubadilika na kutafuta haki na kweli ya taifa, ni vizuri wakafanya hivo ili taifa libadilike. Hawawezi kubadilika na kuwa Watanzania wema bado wakabaki ccm kwa kuw ahakuna jema linaweza kutoka ccm. Kwa kuw ania yao ni mabadiliko, waondoke ccm, waungane na wenzao wa UKAWA, ili walikomboe taifa.

Wewe usilazimishe wtu kuishi maisha maovu hata pale wanapotaka kubadilika eti kwa sababu walishawahi kufanya uovu. Usilete fitina za kusema NAPE ataendlea kuw mwovu hata akiondoka ccm. Huko anakokwenda kuna sera zingie na mazingira mapay ambayo hayampi nafasi ya kufikiria uharamia tena. Atatengenezea na kuwa raia mwema mwenye mtazamo sahih ikwa binadamu na dhidi ya uharifu wa kiccm.

Mwache aende akapignie ukombozi wa kwlei. Wewe wasiwasi wako nini akiondoka kule ikiwa hata niyini mnasema ni mwovu?

HAKUNA MTU MWENYE UBINADMAU ATABAKI CCM. HAKUNA MTU ATKAYEJITAMBUA NA KUJUTIA UHAYA.MOJA WA CCM ATAENDELEA KBAKI KWENYE LILE NGENGE. GENGE LINALONUKA DAMU ZA WATANZANIA. Na wewe hama uende kwa watanzania wenye nia njema, upinzania.

Nanialiyehamia CHaDEMA, alikufa kisiasa? Toa mifano sahihi zaidi ya wale wanaohamia ccm wanavyopukutishwa kama chawa? Yuko wapi Kabourou? Yko wapi Lamwali, , yuoko wapi mahanga? wako wapi??? Fungua mach oupate kuona.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…