Waliondoka kwa mbwembwe,wamerudi wakilia na kusema tusamehewe ,tulikosa.Na wengine wamebaki kuwa wachezaji wa ligi za michangani na makomredi sasa wamekuwa chipukizi hatuwasikii tena wakilazimisha kuwa asipochaguliwa mtu wao ndio mwisho wa CCM,CCM ipo na itakuwepo kwani sio SACCOS ya bwana yule
Vijana wa Lumumba utawajua tu..tembea yao, ongea yao, hata andika yao..
Nyie propaganda mitandaoni kubalini tu hamuwezi...jihimarisheni zaidi katika kuteka watu na kuwalawitiiiii....
Nape ana uhuru wa kuhamia chadema, wala hakuna shida ndo siasa, tujaribu kujifunza kwa waliofanikiwa, si hatari hata rais kuhama chama, ndo kutengeneza siasa iliyo balance, vijana wajifunze uthubutu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.