Nape Nnauye: Nahisi Mashabiki wa Kiba ndio waliokuwa wakipinga Diamond kupewa Bendera ya Tanzania

Nape Nnauye: Nahisi Mashabiki wa Kiba ndio waliokuwa wakipinga Diamond kupewa Bendera ya Tanzania

Ni suala la kutoa elimu tu kuwa kumpa bendera Diamond kulikuwa ni jambo jema kabisa kwa sanaa ya muziki wa Tanzania. Anapoingizia ishu ya ushindan wa Diamond na Kiba anaanza kuvua viatu wa uwaziri na kuvaa vya ushabiki.

Kwa kauli yake nimegundua yuko timu Mond na anaonyesha upendeleo wa wazi. Jiulizeni ni lini aliwahi kwenda kwa Kiba kujionea kazi zake za muziki?

Tatizo ni kumpa kazi ya uwaziri mtu aliyekuwa Katibu mwenezi wa chama. Kazi ya katibu mwenezi ni kuona rangi mbili tu-rangi ya watawala na ya wapinzani. Kama huna rangi ya chama tawala basi wewe ni wa upinzani. Kama unaponda Diamond kupewa bendera basi wewe timu Kiba. Hajui wengine wanakosoa kwa sababu hawajazoea tu, ndo tunafanya mara ya kwanza. Hawa wanahitaji kuelimishwa kwamba Diamond ana nafasi nzuri zaid ya kuutambulisha muziki wa Tanzania kwa Africa nzima maana Misri, Algeria, Tunisia na wengineo watakuwa wanafuatilia na njia rahisi kutambulisha nchi kwenye tamasha ni bendera.
 
Na ndio haohao mashabiki wa Ali Kiba wanaodai Tanzania kuna njaa wakati kila siku wanakula chips mayai. Wabishi sana.

Ha ha ha ha watu wengne mna makusud sana
 
Huyu nae hana kazi za kufanya hivi unaweza kupata mda wa kujadili ujinga kama huu..Waziri!!hata katibu mkuu wake sio level yake...Huyu jamaa anastahili kuendelea kuwa msemaji wa chama ndo inamfaa
Bila shaka hujui majukumu ya waziri,ndio maana unaongea usiyoyajua. Labda nikupe tu,kwa faida yako na wengine ambao wana upungufu wa akili kama wako. Moja kati ya meeeengi ya majukumu ya waziri ni kushiriki matukio yanayohusu wizara yake,na tukio mojawapo aliloudhuria kwa siku za hivi karibuni ni hilo la kumkabidhi bendera DIAMOND. Tukio ambalo lilizua mijadara mno,sasa yeye kama waziri na kama ndio muhusika mkuu wa hili tukio,NI LAZIMA ALITOLEE UFAFANUZI,NA KATIKA KUTOLEA UFAFANUZI PIA AMEELEZEA WALICHOKIGUNDUA SABABU YA HAYO YOTE, NA SABABU YENYEWE NI TIMU KIBA KUPINGA YEYE KUM KABIDHI BENDERA DIAMOND. Nadhani umeelewa ....??
 
Kwani kwa mfano hapo utahoji kipi kimfanye yeye kuukana uwaziri wake ......... Kwamba ni kosa KUSEMA KUWA TIMU KIBA NDIO WALIOPINGA DIAMOND KUKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA ??
Ana haki mkuu kuwa na amani ila ndo majibu ya viongozi wetu anapochangia jambo la kawaida utasikia nazungumza kama samsun hapa
 
Ni suala la kutoa elimu tu kuwa kumpa bendera Diamond kulikuwa ni jambo jema kabisa kwa sanaa ya muziki wa Tanzania. Anapoingizia ishu ya ushindan wa Diamond na Kiba anaanza kuvua viatu wa uwaziri na kuvaa vya ushabiki.

Kwa kauli yake nimegundua yuko timu Mond na anaonyesha upendeleo wa wazi. Jiulizeni ni lini aliwahi kwenda kwa Kiba kujionea kazi zake za muziki?

Tatizo ni kumpa kazi ya uwaziri mtu aliyekuwa Katibu mwenezi wa chama. Kazi ya katibu mwenezi ni kuona rangi mbili tu-rangi ya watawala na ya wapinzani. Kama huna rangi ya chama tawala basi wewe ni wa upinzani. Kama unaponda Diamond kupewa bendera basi wewe timu Kiba. Hajui wengine wanakosoa kwa sababu hawajazoea tu, ndo tunafanya mara ya kwanza. Hawa wanahitaji kuelimishwa kwamba Diamond ana nafasi nzuri zaid ya kuutambulisha muziki wa Tanzania kwa Africa nzima maana Misri, Algeria, Tunisia na wengineo watakuwa wanafuatilia na njia rahisi kutambulisha nchi kwenye tamasha ni bendera.
Wala HAJAKOSEA ukweli ni lazima usemwe hata kama ni mchungu, TIMU KIBA NDIO WANAOMSHAMBULIA YEYE KWANINI AMPE MOND BENDERA,sasa aogope kuwataja kwani wao ni kina nani ktk nchi hii ........ wanatajwa waislam/wakristo kwenye ishu wanazohusika iwe hao wakina timu kiba ......???
 
Hapa ndo pale Jf inaanza kulingana na Fb, sasa kama kauli tu isiyohitaji tafsir watu wanashindwa kuelewa, huo u great thinker unatoka wapi!! Hamna kibaya alichoongea waziri hapo, yuko sahihi kabisa ukiweka mbali mapungufu yake mengine aliyonayo!
 
Huyo waziri naye kapaniki tuu....
Kauli Ilikuwa ni kutafsiri kitendo kile kama kejeli kwa soka letu...
Kuwa badala ya soka kutupeleka Gabon Muziki umetupeleka,
"Mheshimiwa avute picha una timu ya sokaya taifa hapo na mwanamuziki"

Amewasikiliza kebehi za wapuuzi wa chache juu ya Naseeb kupewa bendera lakini maana halisi ya kejeli hakuielewa ama kaipuuza.

Hizo ni athari za kuengemea Instagram kujua mitazamo ya watu aje huku JF kama mwenzake Mwigulu
 
Hata rizwan alihusika kuhoji uhalali wa diamond kupewa bendera
 
Hivi kumbe Kuna WATU walianza kupinga diamond kupewa bendera. Nimepitwa na hizo habari.. Mambo mengi siku hizi yote maamazing
Ila sidhani kama wengine walipinga kivile ila walitoa changamoto tu kwa TFF na serikali kwamba ingekuwa bomba kama hiyo bendera ingeambatana na timu ya Taifa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipati picha mashabiki wa kiba vifua vilivyotuna kwa hasira
 
Back
Top Bottom