Nape Nnauye: Napandisha intaneti kilele cha Mlima Kilimanjaro

Eti napandisha intaneti ni pesa zake zinafanya hiyo kazi? Shenziiiiiiiiiiii kabisa
 
Unamaanisha kwa vile kuna watu walianzisha forum miaka ya tisin na zinabamba mpaka leo na zina memba mamilion kwa hiyo melo hapasw kujipongeza kwa jf aliyoianzisha miaka ya buku be.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha tumechelewa sana kama taifa kufanya kitu kidogo kama hicho kwenye hifadhi ghali na yenye kuingiza mapato zaidi ya hifadhi zote chini ya TANAPA.
Kujipongeza au kutojipongeza ni issue na nafsi ya mtu.
 
Atarusha tena chopa lingine la kijeshi maana kwa hilo likitambi lake Kufika kilele cha mlima Kilimanjaro sio leo
 
Safi Sana mama anaupiga mwingi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220816-202820.png
    124.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220816-202049.png
    117 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220816-202031.png
    211.4 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…