Pre GE2025 Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waliotumbuliwa na Magufuli hawana faida yoyote kwa wananchi hata baada ya kurudishwa serikalini na Samia.
 
Mbwa wameingia madhabahuni, msemo huu ni kweli, zama zile za Nyerere unapita ikulu ilikuwa sehemu ya heshima ila tangu aondoke kweli mbwa wameingia. Na kweli wanakunya mavi kila sehemu
 
KWA UTANI
KWA UTANI NA MIMI NASEMA HUJAKOSEA, UKO SAHIHI
 
Kauli za nape kuhusu kupoka uchaguzi si mara ya kwanza ,ni mzoefu sana wa kuiba kura ndiyo maana alisema goli la mkono na leo inategemea nani anatangaza.
 
Tukipata wanasheria wazuri Nape anafukuzwa Ubunge maana amekiri kwamba yeye ni mzoefu kwenye Weezy wa KURA.
 
Haiwezekani awajibike kirahisi hivyo Kwa kauli nzito namna ile.

Akubali kuachia ngazi vinginevyo kauli yake ni kauli ya Serikali
 
NOOO!! usituchanganye mheshimiwa waziri! Tunakushukuru kwa kutupa ukweli wa mambo kuwa hakuna uchaguzi tanzania.
Wewe ndiyo tarishi wetu unatupaga ukweli
1. Bao la mkono- 2015
2. Halali/Nusu halali na haramu 2024/25

Ahsante sana Nape Nnauye!
Upinzani -- On your marks this is the real situation!!
 
Kwa hiyo Mh. Waziri utani kwenye yote ilikuwa ni hilo tu au pamoja na ile ya kupata fedha toka kwa Makampuni ya simu yaliyo chini ya Wizara Yako???
 
Ajiuzulu tuu,ndio tutamuelewa!
 
Wakati akikanusha video iliyosambaa mitandaoni kuhusu goli la mkono (uchakachuaji wa matokeo wakati wa uchaguzi), waziri wa habari na mawasiliano na teknolojia ya habari, bw Nape Nnauye alitujuza kuwa yale aliyoongea katika kipande cha video iliyosambaa mitandaoni ulikuwa ni utani tu, haikuwa serious version na kwamba yeye ni muumini wa uchaguzi huru na wa haki. Sasa siku zote huwa kuna utani na utani wa kweli, tusichojua ni je alichoongea ulikuwa ni utani tu au utani wa kweli. Na je ni sahihi kwa kiongozi mwenye nafasi na dhamana kama yake kuongea utani unaohusisha hujuma katika chaguzi zetu, ukizingatia tuko mbioni kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni na uchaguzi mkuu 2025?
 
Alichosema Nape ndio ukweli wenyewe kuhusu suala la Chaguzi za Siasa hapa Tanzania, Tena ni ukweli mchungu sana.

Hata Rais Ali Hassan Mwinyi enzi za uhai wake aliwahi kusema kwamba " wakati CCM tulipokubali mfumo wa vyama vingi, tulihakikisha kwamba hatushindwi."

NB: Fanya tafakuri ya kina kuhusu neno 'hatushindwi.'
 
Huyu jamaa ni kibaka, by nature!😎
 
Huyu muda SI mrefu atatuachia Kacheo chetu kamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…