Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi wake)
Pamoja na yote hayo. Nape alijitahidi sana kupambana na ukandamizaji wa Magufuli wa haki za kisiasa na kiraia. Lkn watanzania tulimuqngusha, hatukumpa support.
Soma hapa chini maoni ya wadau wengine mitandaoni.