Chadema wanaingiaje kwenye hoja hii??Hahahha.. Kusema ukweli ccm itaendelea sana kutawala miaka na miaka mpaka pale kizazi hiki kitakapotoweka kabisa.
Imagine chadema leo hii wanamsifia Nape na kusema ni mwanademcrasia!
Yani ya Lowasa yanataka kujirudia kwa Nape. Usishangae 2025 chadema ikampa Nape chama aongoze mapambano.
Ukiwa na akili timamu utaona tu hii ngoma chadema mnavyocheza kishamba na kimihemuko.Chadema wanaingiaje kwenye hoja hii??
Tundu lisu ni nabii......kama mwelewa utaelewaNi kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi wake)
Pamoja na yote hayo. Nape alijitahidi sana kupambana na ukandamizaji wa Magufuli wa haki za kisiasa na kiraia. Lkn watanzania tulimuqngusha, hatukumpa support.
Soma hapa chini maoni ya wadau wengine mitandaoni.
View attachment 1762539
Sawa lakini hatujasahau alipozuia bunge laivu na kauli yake ya ccm itashinda kwa goli la mkonoNi kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi wake)
Pamoja na yote hayo. Nape alijitahidi sana kupambana na ukandamizaji wa Magufuli wa haki za kisiasa na kiraia. Lkn watanzania tulimuqngusha, hatukumpa support.
Soma hapa chini maoni ya wadau wengine mitandaoni.
View attachment 1762539
Kwasasa ametoa bomu zito zaidi kwa Ndugai kuwa mambo ya covid 19 yafikie hitimisho kama sheria na kanuni za bunge zisemavyo kuwa ili uwe mbunge sharti uwe na chamaNi kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi wake)
Pamoja na yote hayo. Nape alijitahidi sana kupambana na ukandamizaji wa Magufuli wa haki za kisiasa na kiraia. Lkn watanzania tulimuqngusha, hatukumpa support.
Soma hapa chini maoni ya wadau wengine mitandaoni.
View attachment 1762539
Shangaa mkuu! Nape sasa amepata washamgiliaji toka chademaSeriously..?
Hili Ni bomu kubwa kwa Ndugai. Na litamvua nguo kwa hatua yoyote atakayochukua.Kwasasa ametoa bomu zito zaidi kwa Ndugai kuwa mambo ya covid 19 yafikie hitimisho kama sheria na kanuni za bunge zisemavyo kuwa ili uwe mbunge sharti uwe na chama
Mbona hushangai wanaccm waliokuwa wakimshangilia mwendazake leo hii wanamponda?Mzee wa Bao la Mkono leo kawa kipenzi cha wana chadema...Kweli dunia inakwenda kasi sana.
Kwaio na nyie mmeamua kua wanafiki na vigeu geu msio jua mnalolisimamia?Mbona hushangai wanaccm waliokuwa wakimshangilia mwendazake leo hii wanamponda?
Akipewa uwaziri hutaamini kama ni yule Nape unayemjua.Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi wake)
Pamoja na yote hayo. Nape alijitahidi sana kupambana na ukandamizaji wa Magufuli wa haki za kisiasa na kiraia. Lkn watanzania tulimuqngusha, hatukumpa support.
Soma hapa chini maoni ya wadau wengine mitandaoni.
View attachment 1762539
Sasa hicho ndio kupambania demokrasia? Huko ni kutafuta sifa za 'umimi' kupitia uropokaji.Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".