kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ni Muhuni tu....Ndo Wale Aliokuwa anawasema Pole pole katika Ile Kampeni Yake Ya 'Kataa Wahuni'....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si ajabu ndio linape lenyewe.Anataka na sisi tuchangie kumponda, sijui tumtoe madarakani, sijui tumfanyeje ht huwa simwelewi huyu jamaa kama huwa anataka nini hasa!
Kutwa kucha kuloloma, sijui ndo mjane mwenyewe alofiwa kule Chaaattle...
Taarifa.unataka sisi tukuongezee nini tena?
ohoooNape mtu wa kawaida kama wengine? Unaifahamu CCM wewe? Muulize nape akutajie kiasi cha hisa zake ndani ya chama kama hujajikuta ukimuamkia “shikamoo boss”[emoji28]
January itakuwaNape ni miongoni mwa CCM ambao Wana amini kwamba uongozi kwao ni jambo la kulithi kwa sababu Baba zao walikuwa viongozi wa chama chakavu Cha ccm akili yake ni Kama yule mwezi unao fuata baada ya December
Shida ya Nape ni mini?Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo?
Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za kisiasa...
kwani nikijana mwenye musimamo
Alaah!ni mtanzania na ni mwanadamu
Yeye jiwe yukowapNyie tulieni magod father wao wafe,tutawanyoosha.
Wale ni wepesi sana, si mnaona jiwe alivyowanyoosha?
Aliharibu nn akiwa mwenezi..?Nape ni kijana mzuri tu ila amekuwa blackmailed na kundi la kifisadi aliharibika awamu ya nne
Kila anachofanya sasa ni kutetea kile kikundi cha ufisadi
Chama cha kitaifa kinakuwa na hisa za watu binafsi kama share holders kwenye ushirika ama sacoss!Nape mtu wa kawaida kama wengine? Unaifahamu CCM wewe? Muulize nape akutajie kiasi cha hisa zake ndani ya chama kama hujajikuta ukimuamkia “shikamoo boss”😅
Sukuma gang mkaota mapembe kwa Jiwe. Kuleni jeuri yenu ile ya awamu ya 5. Mbona malalamiko kila kukicha? Wakati ule si mlikuwa mnajidai mnakuwaga na maamuzi magumu? Fanyeni hayo maamuzi tuone. Yanini malalamiko? Tushawachoka.Kwa jiwe waliufyata kama mbwa koko.