Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Msaamaha alienda kuomba kwa ajili ya zile audio,aliogopa kutimuliwa chamani
 
Nape unalenga kuzima hoja ya ufisadi unaoendelea kwenye serikali ya awamu ya sita. Tuko bize na CAG
 
Ni aibu kubwa na fedheha kwa uliojaaliwa uhai,,,kupambana na mtu ambae amekwishakua marehemu!!!mbona ya kufanya kwa ajili ya nchi na kwa vyeo vyao yapo mengi na ya maana kwa maendeleo yetu,,,wamwache Chief apumzike hizi ngonjera watu wameshachoka kuzisikia,,,tunahitaji kusikia vitu vya maana na vya msingi ndio vijadiliwe kwa maslahi ya Taifa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…