Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yote hayo mwizi ni mmoja tu..!! Mnayemlinda kwa gharama yoyote ile asisemwe..!!old stories,leo tunajadili report ya CAG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote hayo mwizi ni mmoja tu..!! Mnayemlinda kwa gharama yoyote ile asisemwe..!!old stories,leo tunajadili report ya CAG
Msaamaha alienda kuomba kwa ajili ya zile audio,aliogopa kutimuliwa chamaniNape mbona unataka ushujaa usio na msingi. Ulienda kuomba msamaha wa nini ikulu? Kama ulikuwa na misimamo si ungekaa zako Lindi ulime kama Ally Hapi then ndio uje utusimulie?
Nape fanya kazi uliyotumwa, hizo hadithi zako hazibadili chochote. Tasnia unayosimamia ina matatizo mengi na mengine ulishiriki kutengeneza ikiwemo sheria ya kukataza bunge live.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nyie mnao semaga mbona hukusema wakati yupo huwa nawaona mnaakili ndogo sana sijui kwanini?Mbona hakuonge siku zote au ndo unafiki wa wana siasa
Unafiki pro max makonda na clouds washayamaliza kitambo iweje uje leo kuropoka,tz kila mtu anajifanya anajua,hongera mwenye akili kubwa Kama kichwa chako😂Nyie mnao semaga mbona hukusema wakati yupo huwa nawaona mnaakili ndogo sana sijui kwanini?
Kubali kwanza una akili ndogo halafu mengine yaendeleeUnafiki pro max makonda na clouds washayamaliza kitambo iweje uje leo kuropoka,tz kila mtu anajifanya anajua,hongera mwenye akili kubwa Kama kichwa chako😂
😂😂😂😂Kubali kwanza una akili ndogo halafu mengine yaendelee
Mkuu,huwa tunavaa suti mpya kwenye kila harusi.Uliza kuhusu chupi na boksa.Ndiyo!Chupi!Za mwaka juzi "kasarobo"!Usiache mbachao kwa msala upitaoold stories,leo tunajadili report ya CAG
Ndio maana aliambiwa asiende. Mbona alienda ikulu anasota.Kwa tabia anazoonyesha Nape sasa hivi, naamini kuwa alikwenda Clouds kumkomoa Makonda na si kwamba ni weledi wa kazi.
Nape unalenga kuzima hoja ya ufisadi unaoendelea kwenye serikali ya awamu ya sita. Tuko bize na CAGWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.
“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”
Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.
"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"
Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.
"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"
Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.
Jinai haifi.Ishu ina miaka takribani 6. Politicians sometym
Aisee..Ni wakati wa kusema Sasa kwanini alitoka ikulu huku anageuka geuka nyuma halafu analia..
Ni wakati wa kusema ukweli sasa
Jinai haifi bwasheeMbona hakuonge siku zote au ndo unafiki wa wana siasa