Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.

“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”

Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.

"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"

Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.

"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"

Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.
Ahahahahaha! Mama ana kazi kweli.
 
Kwa tabia anazoonyesha Nape sasa hivi, naamini kuwa alikwenda Clouds kumkomoa Makonda na si kwamba ni weledi wa kazi.
Mwajiri ashasema wachana nayo, kwa sababu anazojua yeye, wewe ndio unakuja kutanua mishipa ya shingo....ish!

Pictus, huko nyuma nilitathmini haya na kuona ni "class war" vita ya matabaka. Huyu kakimbilia kuwaokoa wanaosadikiwa kuwa marafiki zake ambao kwa akili yake "sisi ndio tuliokuweka" ikiambatana na ujeuri na much know wake wa kwenda kutia pua.... Sawa Wizara au Waziri wanaweza kua na uamuzi huo, lakini chakujiuliza ni kwanini haswa mwajiri hakutaka wafanye/afanye hivyo? Anajuaje Mwajiri alikuwa na mpango wa aina yake na hayo?
Kwa wanaye mjua mwajiri wake sidhani kama alitaka makonda abaki, alifanya hivyo kwa 'unachezea dola'
Kwenye 'social realm' (affluent) makonda alionekana mbabe, ila, naye ubabe wake ni ule wa kubebwa ambao ulianzia nyuma....haijalishi....... kwa hayo ......Pictus, uliyoyasema.....Alikwenda clouds kumkomoa, makonda I concur 1000% Lakini hakutumwa kujifanya mtetezi.
 
Nape ameamua kuiumbua ccm na maovu yake.
Serikali inayozungumzwa hapo si ya upinzani wala Darfur wala Kosovo!
Wananchi sijui wanaelewa kinachoendelea??
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.

“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”

Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.

"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"

Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.

"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"

Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.

Nape kawa Waziri wa hovyo hovyo sana,kwa hili nampongeza sana Rais Magu kumfukuza.

1-Kawekwa mifukoni na wenye makampuni ya simu,anawatetea Voda wazidi kutukamua badala ya kutetea watz walio muajiri

2-Starlink bundle itapunguza sana faida ya Vodacom na Tigo na Nape hawezi ruhusu waingie nchini

3-TTCL bundle zao ni utoto kabisa lkn anakua kama msemaji wa Voda

4-Kuzima Bunge live ni ww uliasisi wkt wa huyo huyo Magu ambaye leo unamponda

5-Kama Magu alikua mbaya sana kwako mbona ulienda Ikulu unatambaa kwa kumuomba msamaha?

Haya ya Makonda hayatusaidii lolote watz na kupunguza ukali wa maisha kupitia bando.

Nape apuuzwe.
 
Hawa watawala wa sasa kuna vitu wanaona hawanauwezo wa kuvifanya, badala yake wanahangaika na Marehemu ili kutupoteza maboya.
Walivyokosa aibu wataendelea hivi mpaka 2025.
Kweli kabisa. Mtu anajisifia kitendo cha kukiuka amri ya Rais wake. Inatakiwa Rais huyu aliepo amuondoe mara moja coz nae pia anaweza kukiuka amri zake. Anasahau pia kwamba mama alikuwa makamo so technically alimpinga pia coz Rais ni taasisi. Kweli bado watu wanahangaika na marehemu. Kwa vile jinai haifi, wamshitaki Makonda basi ili tuone kweli heshima inalindwa

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.

“Asubuhi yake nilizuiwa kwenda kuchunguza, nikaambiwa ukienda utakuwa hauna kazi. Nikasema ni bora nisiwe na kazi lakini nilinde heshima.”

Ameongeza, “Kwa sababu katika mazingira wewe ndiyo waziri, watu wanavamia kituo, halafu wewe unatakiwa usiende. Unachagua kati ya heshima na kazi. Heshima utaenda nayo, kazi ipo siku itaondoka tu, kwa hiyo nikachagua heshima ambayo nadhani naendelea nayo leo”.

"Kwamba mwajiri anasema ukienda kazi huna, nikasema sawa, halafu mimi naendelea kusema tunachunguza, mwajiri anasema bhana wewe uliyevamia endelea na kazi vizuri hakuna shida"

Baada ya tukio hilo, Waziri Nape amebainisha kuwa waliunda Tume ambayo siku ya kusoma ripoti walianza kushauriana wasome au wasisome, ambapo aliwaaambia wajumbe wa tume kuwa kama wataisoma yeye hatakuwa tena na hiyo kazi.

"Wakasema Mhe. Waziri tukisoma utafukuzwa kazi, nikasema ndiyo na nimetoka kuthibitishiwa pia sasa hivi maana kabla ya pale nilipitia mahali, nikasema jamani ile taarifa ipo tayari na wananisubiria tufanyeje? Wakasema sasa uamue, uisome afu uondoke au uinyamazie uendelee na kazi. Nikatafakari, nikachagua heshima maana haviwezi kukaa pamoja"

Amekiri kuwa hata kitendo cha yeye kuondolewa wizarani hakikumshangaza kwa kuwa alijua litatokea, wakati anapokea taarifa aliwaambia wajumbe wa tume kuwa kuna gharama za kulipa baadae na yeye yupo tayari.
Reports za CAG zimewakaanga walamba asali mbaya kabisa.
 
Yule mtu alikuwa mjinga Sana hapaswi kumbukwa

Back
Top Bottom