Nape Nnauye: Ningependa bunge liwe live wananchi waone mijadala

Namtetea nape
Alikuwa Hana uchawa kiasi iko
Wakati WA kukosoa alikosoa wakati WA kusifia alisifia
 
Yeye si ndiyo aliepeleka huo mswada bungeni kipindi akiwa waziri wa habari bunge nisiwe live leo nini kimemkumba tena masikini😌😔😔
 
Kweli nape ni nyumbu
 
Duh rangi halisi zinaonekana. Aisee anyway nani aliyepeleka mswada bungeni kupigilia msumali bunge live?
 
Unafiki unalipa nyie mnaompinga shauri yenu mtakufa njaa na familia zenu s
 
Madaraka na ukweli huwa hawasafiri njia moja!! lazima waachane tu!!
 
Wanasiasa hawa ni kama kimiminika huchukua umbo la chombo husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…