Nape Nnauye: Sekta ya Mawasiliano imeajiri watu milioni 1.5

Nape Nnauye: Sekta ya Mawasiliano imeajiri watu milioni 1.5

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Mawasiliano amezungumzia umuhimu wa Sekta ya mawasiliano nchini ambapo amesema inachangia 5.2% ya GDP ambayo ni Trilioni 5.7 kwa mwaka 2021.

Pia imepelekea ajira rasmi na zisizo rasmi milioni 1.5 sawa na 2.6%. Sekta ya mawasiliano pia imetajwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya serikali, kama kodi na tozo.

Simu za Mawasiliano na financial inclusion imekuwa 65% kutoka 15% kabla ya kuanzishwa kwa huduma za kifedha kutokana na simu za mkononi.

Pia ametaka kutungwa sheria itakayotambua.
 
Back
Top Bottom