Pre GE2025 Nape Nnauye tutakukumbuka kwa ubunifu katika sekta

Pre GE2025 Nape Nnauye tutakukumbuka kwa ubunifu katika sekta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.

Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri. Endelea Kula mema ya ubunge mpaka Wananchi watakavyoamua vinginevyo.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

20240721_231448.jpg
 
Mheshimiwa Waziri Mstaafu ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.

Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri.
Pengine hiyo ndio moja ya mbinu zake alizotaka kumfundisha Byabato 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
1. Wakati mwingine naishiwa maneno namna ambavyo TEHAMA ndio mhimili wa maendeleo duniani Ila ulikua ukiangalia mtu aliyepo pale Wizarani unashindwa kuona vinasaba/maono ya kutumia fursa zinazoletwa na TEHAMA kunufaisha Taifa [vijana].

2. Wizara ikawa kama Wizara ya magazeti, huku TEHAMA ikiwa haionekani. Internet ghali TZ bila sababu za Msingi.

**Ki-nchi kama Rwanda wanatushindaje kwenye uwekezaji wa TEHAMA? Tuna utetezi gani? Hivi ni lazima tufundishe majina [na kirefu] cha Vyama vya siasa MASHULENI eg CUF, CHADEMA na CCM zama hizi za TEHAMA?
 
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.

Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri. Endelea Kula mema ya ubunge mpaka Wananchi watakavyoamua vinginevyo.
Alama gani ameacha? Nini so special amefanya kipind chale ambao wengine hawakufanya?
 
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza...
UBUNGE WA GOLI LA MKONO UMEPITWA NA WAKATI ,

Hivi sasa kuna VAR
 
Wameanza kuweweseka, ukicheki Royal Tour unamuona Mama ni mzungu ana maono flani amazing, sasa asibakize wengine aendelee kutoa makapi yote ya wapanda minara!
Bado wapo wengine wengi wanaomhujumu!

Mama amethubutu na asirudi nyuma timua majizi yote bila kuangalia jina sijui historia, tupa kule, SGR inasua sua ingekuwa Mwendazake saa hizi ishafika Mwanza na Kigoma.
 
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza...
Na wewe unatumbuliwa leo. Kuna wenzako wametumbuliwa kwa kuandika ujumbe wa shukrani kwake. By the Way kupanda kwenye minara hata tapeli anaweza panda
 
Back
Top Bottom