Uchaguzi 2020 Nape Nnauye, Uropokaji wako unakuponza sana. Aahidi kupiga watu Mabuti


Nape hana uhakika wa kupitishwa na CCM na akipitishwa na CCM hana uhakika wa kushinda hilo jimbo aliloachiwa na Membe.
 
Kwa Jinsi Mbasha alivyoenda chini kwa Buti Dhaifu la Adam Mchomvu.

Na Kwa kuwa Mbasha amewakilisha Jinsi Wanachama wa chama Chenu mlivyo Nyoronyoro na Laini.

Mdugu yangu Nape bado unataka Waziri Mkuu atuachie tutembezeane Buti uwanjani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…