Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hawezi kusema lolote . Na mnitoe jfHizo siyo lugha za kichokozi?
Siro anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kusema lolote . Na mnitoe jfHizo siyo lugha za kichokozi?
Siro anasemaje?
Unapomwambia PM kwamba Usalama wa taifa ubaki huko huko DSM kwamba ninyi mna vikosi vyenu una maana gani?
Hivi sheria ya vyama vya si inazuia kua na vikosi vya ulinzi?
Huu sasa ni sawa na ujangili ikiwa hivi mikosi haitakiwi halafu wewe unavyo.
Acha kuropoka, kila mtu akisema ana kikosi chake patakalika?
Unataka kutuchafulia chama tulishakuonya unyamaze. CCM hatuna vikosi kama umaanishavyo wewe ispokua tuna chipukizi. Huo mdomo itatuletea matatizo.Huna mamlaka wala hadhi ya kuzuia vyombo vya umma kufanya kazi.
Ngoja ukatwe urudi mtaani ndio utajua, kwanza umetuhumiwa kugawa pesa nyakati za uchaguzi na ushahidi upo. Hakuna atakayekuonea huruma wakati huu. Kwanza kuna tetesi kua mnakutana na Membe kwenye hoteli zake usiku na unasubiri ukatwe uhamie ACT. Tulishakustukia kitambo sana
View attachment 1536951