Nape Nnauye

Hata juhudi za mtu zinapingwa tanzania kufika katika mafanikio tutachukua muda mrefu sana kwani mafanikio yanahitaji maendeleo ya watu katika fikra zao kuwa huru,kwa jamii hii inayo hoji na kudharau mafanikio ya Nape ni dalili tosha tumeshindwa kuzalisha watanzania wenye kuthamini juhudi na mafanikio ya wenzao na kuwaona ni watu wa kuigwa.NAPE ENDELEA UJAFIKA MWISHO.HONGERA KWA HILO ULIFANYIE KAZI KIVITENDO.Ahsante
 
La hasha!....Sijamtetea wala nini......Nilitaka tu uweke Dessertation yako tuijadili kwanza kabla hatujaijadili ya Nape...

Ok mi bado sijagraduate! Sema kingine unachotaka! Lakini kwa nini aumsisitizii NAPE aweke Dessertation yake hapa Jamvini? Kuna mtu ameniandikia kwenye Inbox yangu anadai kwamba Dessertation ya NAPE ilikuwa kurasa tatu tu! Nimecheka mpaka basi!
 
Watu wengine kama tuna chuki binafsi...........kila mtu anajua wapi pa kutokea bana.
 
Mzumbe kuna utata mwingi sana kwa nini ? Hivi kuna mtu aliye muona Nape akiwa darasani kwa muda huo ? Kama yupo ajitokeze aondoe hizi doubts
 
Usithubutu kabisa ndugu yangu kusoma hapo. Hicho ni chuo cha watu wenye akili kama za NAPE! Vyeti vya Mzumbe (For Master) haviheshimiki kwa baadhi ya taasisi especially International Instituitions!
Hizi story za mtaani tu. Mtu mwenyewe umesema hata hujagraduate! Haya umeyajulia wapi?
 
Mzumbe kuna utata mwingi sana kwa nini ? Hivi kuna mtu aliye muona Nape akiwa darasani kwa muda huo ? Kama yupo ajitokeze aondoe hizi doubts
 
Ok mi bado sijagraduate! Sema kingine unachotaka! Lakini kwa nini aumsisitizii NAPE aweke Dessertation yake hapa Jamvini? Kuna mtu ameniandikia kwenye Inbox yangu anadai kwamba Dessertation ya NAPE ilikuwa kurasa tatu tu! Nimecheka mpaka basi!
Graduate kwanza ndio nitasema hicho kingine ninachotaka.....

Bala.
 
Ndiyo maana ya u-great thinker!!siyo uje kienyeji kisa umetoka kwa mungu hapa unapigwa nondo kwanza ikiyeyuka nakuwa bua tunajua kweli nabii vinginevyo tutaka cv tangu unazaliwa!
 
kasomee kwenye maandamano na kukataa posho wakati mna njaa kibao.
Kwelikweli maana yake nini??kwa hiyo imeshakuwa itikadi??unataka kusema Nape akisema anakukameroon ukotayari kwa sasababu wewe ni green guard??!!!amaakweli!
 
Mzumbe nitawi la CCM!nani anakataa???walipogoma majuzi wakwanza kuhojiwa eti ni wafuasi CDM!!na watu nawafahamu wote ni makada wa CCM wameanzia Mzumbe!kwa Nape kuhongwa Digree si ajabu!
 
NAPE na baadhi ya JF-members ni kama Wema/Aunt Ezekiel na magazeti ya Shigongo au Kiu. Hakuna anachokifanya Nape kisiandikwe humu, iwe ameenda kwenye send-off party, harusini, msibani, kutembelea wazazi nk utajua tu kupitia JF.

Hii ni obsession (sijui hata kwa kiswahili ni nini), lakini naona mafanikio ya Nape yanawaumiza baadhi ya watu (wengi) humu JF. Ni muda sasa tufanye mambo yanayoleta tija kwa maendeleo ya taifa, mtu hata masters hana anaanza kufanya comparisons ya masters ya mwenzake. Tusiwe wajinga kiasi hicho, hope NAPE anainjoi na Masters yake huko aliko.
 
Mkuu Kanigini!!! kwa maana hiyo wa muache apite tu kwakuwa hatuna masters?? Hivyo nimakosa kumuandika rais kwakuwa sisi siyo marais??!!wewe ndo kiazi kweli!!
 
Mkuu Kanigini!!! kwa maana hiyo wa muache apite tu kwakuwa hatuna masters?? Hivyo nimakosa kumuandika rais kwakuwa sisi siyo marais??!!wewe ndo kiazi kweli!!

KakaKiiza sina maana ya wamuache apite, unawezaje kujua kwamba Nape ni kilaza wakati hujamfundisha, hujasoma naye ukamshinda, na labda umejua alidisco lakini amebebwa mpaka kufika hapo?

Na kwa point ya kwamba Nape hakupaswa kupata Masters unamaanisha waliompa ni vilaza? Aliopata nao ni vilaza? Na wengine wote waliokwisha pata Masters kama ya Nape ni vilaza?

KakaKiiza wewe level yako ya elimu ikoje, unafanya kazi gani za kuisaidia jamii na elimu yako hiyo?
 
Hizi story za mtaani tu. Mtu mwenyewe umesema hata hujagraduate! Haya umeyajulia wapi?

Kwa hiyo mpaka ulitaka nigraduate ndio nijue kwamba mtu akigraduate Masters lazima awe ameendika 'Dessertation'? Kweli MAGAMBA ni vilaza!

 
kikla mtu hutoka kwa style yake kama hujapumuliwa kisogo,hujadhulumu wala kuiba basi ukifanikiwa kimaisha kwa style kwa michakato mingine bab kubwa!nape jembe!
 
Graduate kwanza ndio nitasema hicho kingine ninachotaka. Bala.

Haya, ila kumbuka kukimbia hoja siyo kujibu hoja! Tutaendelea ku-demand Dessertation ya NAPE! Sisemi hivi labda namuonea wivu. La hasha! Nataka kusoma nijue aliachoandika maana Dessertation ni Information ambayo ni muhimu for Publlic awareness and not Confidential Information! Na ndiyo maana Mzumbe wamemtunuku Master degree.
 
Mi bado sijagraduate. Nikimaliza yangu nitaiweka! Mwambie NAPE basi aiweke yake hapa jamvini mbona unamtetea? Au alibadilisha cover page ya mtu mwingine akai-submit kama yake?!

Kuna jaama hapa jamvini alitishia kumshitaki kwa kosa hili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…