Lowasa Namkubali
Member
- Dec 14, 2011
- 21
- 0
Hata juhudi za mtu zinapingwa tanzania kufika katika mafanikio tutachukua muda mrefu sana kwani mafanikio yanahitaji maendeleo ya watu katika fikra zao kuwa huru,kwa jamii hii inayo hoji na kudharau mafanikio ya Nape ni dalili tosha tumeshindwa kuzalisha watanzania wenye kuthamini juhudi na mafanikio ya wenzao na kuwaona ni watu wa kuigwa.NAPE ENDELEA UJAFIKA MWISHO.HONGERA KWA HILO ULIFANYIE KAZI KIVITENDO.Ahsante