GE2025 Nape: Serikali ya mama haikuwa na matundu ya rushwa

GE2025 Nape: Serikali ya mama haikuwa na matundu ya rushwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Ukichukuwa ndoo ukaitoboatoboa ukijaza maji haitajaa, Serikali ya Rais Samia ingekuwa na matundu ya rushwa hiyo pesa isingeonekana imeonekana kwa sababu Mama kainua uchumi na akaziba mashimo ya rushwa, wanaosema mama hawezi nani..? La pili niseme nisiseme..? Serikali yoyote corrupt kiongozi yeyote corrupt hakikusanya fedha hazifiki kwa wananchi…”- Mgombea Mbunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye.

Pia Soma: GE2025 - Pangani: Aliyesema Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na kutangaza, ataka wanaoshawishi maandamano kupuuzwa
 
Kweli kabisa, mama kaupiga mwingi sana kudhibiti rushwaa na matundu yote, ukiangalia hata kina DGTIS wamehakikisha hakuna rushwa kabisa kwa kutumia Intel zao ... mama mitano tenaaa.

au Cute Wife unasemaje
 
Ukichukuwa ndoo ukaitoboatoboa ukijaza maji haitajaa, Serikali ya Rais Samia ingekuwa na matundu ya rushwa hiyo pesa isingeonekana imeonekana kwa sababu Mama kainua uchumi na akaziba mashimo ya rushwa, wanaosema mama hawezi nani..? La pili niseme nisiseme..? Serikali yoyote corrupt kiongozi yeyote corrupt hakikusanya fedha hazifiki kwa wananchi…”- Mgombea Mbunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye.


View: https://m.youtube.com/watch?v=jznZWmGqZZw
 
Jizi ni jizi tu hata likijificha kwenye kivuli cha kusifia uongo.
20251001_043933.jpg
 
Back
Top Bottom