Ukichukuwa ndoo ukaitoboatoboa ukijaza maji haitajaa, Serikali ya Rais Samia ingekuwa na matundu ya rushwa hiyo pesa isingeonekana imeonekana kwa sababu Mama kainua uchumi na akaziba mashimo ya rushwa, wanaosema mama hawezi nani..? La pili niseme nisiseme..? Serikali yoyote corrupt kiongozi yeyote corrupt hakikusanya fedha hazifiki kwa wananchi…”- Mgombea Mbunge Jimbo la Mtama, Nape Nnauye.