Nape Tunaomba Kuwajua Wenye CCM

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Nape Nauye na January Makamba inasemekana ndio wajuzi wakubwa wa wale wanaokimiliki chama tawala cha CCM.

Kwa unyeyekevu mkubwa, tungependa kuwajua wamiliki wakubwa wa Chama chetu cha CCM. Je chama ni mali ya Wahuni wachache au wananchi. Hili ni swali gumu sana kwetu sisi wananchi wa kawaida
 
Wenye Ccm hutoka chipukizi Kisha UVCCM Kisha UWT au jumuiya ya wazazi kama hujapitia hapo ww ni msakatonge tu
 
CCM ni mali ya wahuni kama vile Job Ndugai,Humphrey Polepole,Lusinde,Musiba,Diamond,Makonda,Sabaya,Mwigulu Nchemba na wengine wengi.
 
Wenye CCM ni wanachama wa CCM ukiondoa mazwazwa na Sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…