Nape wa ' Ulaya ' angenza kwanza na hili ambalo lilikuwa kubwa kuliko!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nape wa Ulaya angeanza kwanza ' kuwawajibisha ' Watendaji wote wa Kampuni ya SELKOM na Wale wote iliyoshirikiana nao katika suala zima la upatikanaji wa Mtandao bora pale Uwanjani ili kuweza kurahisisha Watu kuingia vizuri Uwanjani kuliko ' mateso ' yale ambayo Wana Michezo wengi waliyapata jana Uwanja wa Taifa hasa katika kuingia Uwanjani.

Ila Nape wetu wa Tanzania kawaacha waliowatibua Watanzania wengi na kaenda kwa wengine Simba na Yanga kwa kuwaadhibu na kutotumia tena Uwanja na kuwapia faini.

Hiki ni Kichekesho cha mwaka na acheni tu Watafiti waseme uwezo wetu wa kufikiri ni 1%.
 
ww jamaa si ulisema umerudi kwenu ya kwetu yana kuhusu nn
 
Back
Top Bottom