GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nape wa Ulaya angeanza kwanza ' kuwawajibisha ' Watendaji wote wa Kampuni ya SELKOM na Wale wote iliyoshirikiana nao katika suala zima la upatikanaji wa Mtandao bora pale Uwanjani ili kuweza kurahisisha Watu kuingia vizuri Uwanjani kuliko ' mateso ' yale ambayo Wana Michezo wengi waliyapata jana Uwanja wa Taifa hasa katika kuingia Uwanjani.
Ila Nape wetu wa Tanzania kawaacha waliowatibua Watanzania wengi na kaenda kwa wengine Simba na Yanga kwa kuwaadhibu na kutotumia tena Uwanja na kuwapia faini.
Hiki ni Kichekesho cha mwaka na acheni tu Watafiti waseme uwezo wetu wa kufikiri ni 1%.