GE2025 Nape: Wale wenye mashaka na Samia waache porojo za barabarani

GE2025 Nape: Wale wenye mashaka na Samia waache porojo za barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliangalia rekodi ya Mgombea wa Urais CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uadilifu, uzalendo,Maadili na utu wake katika kusimamia rasilimali za Taifa

Nape ameyasema hayo Leo Oct 1,2025 wakati akizungumza katika viwanja vya Mashujaa Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Dkt. Samia

Nape amesema kuwa wao CCM walijiridhisha na rekodi hiyo kwamba anastahili na ndio maana wamemteua kugombea nafasi ya urais.
 
Back
Top Bottom