Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaposema serikali mbili atueleze serikali moja ni ya nchi gani na serikali ya pili ni ya nchi gani? alafu atueleze ni nchi gani zilizounganaSource Uhuru 05/08/2013
Kauli tata za Nape Mnauye kama nilivyomnukuu katika gazeti la Uhuru kwa kauli za kejeli na matusi kwa kusema kuwa wanapenda serikali mbili ndio wenye akili timamu, kwa maana nyingine jaji Warioba na wananchi waliopendekeza ni mamburura.
Aliyasema hayo katika ukumbi wa BOT katika semina ya vijana wa CCM na akadai CCM inajiandaa kimkakati kuhakikisha serikali tatu inaondolewa katika katiba mpya. Na akahoji kama CHADEMA watasusia hawana faida kwani hata bajeti hawakuwepo na ikapita na hata kwenye katiba wasipo kuwepo wataipitisha
Jibu ni moja kama tunataka muungano basi serikali iwe moja na kama ni shirikisho basi serikali lazima ziwe tatu. Gharama ni danganya toto kama ni gharama mbona hatuzungumzii gharama za nape kuzunguka nchi nzima na mada eti Dr. Slaa ana kadi ya CCM so what? Hizo pesa ni heri zitumike kuisimika serikali ya tatu madarakani.............
Source Uhuru 05/08/2013
Kauli tata za Nape Mnauye kama nilivyomnukuu katika gazeti la Uhuru kwa kauli za kejeli na matusi kwa kusema kuwa wanapenda serikali mbili ndio wenye akili timamu, kwa maana nyingine jaji Warioba na wananchi waliopendekeza ni mamburura.
Aliyasema hayo katika ukumbi wa BOT katika semina ya vijana wa CCM na akadai CCM inajiandaa kimkakati kuhakikisha serikali tatu inaondolewa katika katiba mpya. Na akahoji kama CHADEMA watasusia hawana faida kwani hata bajeti hawakuwepo na ikapita na hata kwenye katiba wasipo kuwepo wataipitisha
Ngoja aje akanushe hapa na kudai kwamba wamemnukuu vibaya.!
Umenena vyema sana! 1. Kama issue ya kuwa na serikali tatu ni gharama kuwa kubwa basi tuwe na serikali moja ili tupunguze hata hizo gharama za kuendesha serikali mbili!2. Hivi maoni yaliyotolewa kwenye Rasimu ya katiba ni ya chama ama wananchi wa Tanganyika na Zanzibar? 3. Kila kundi na wananchi, walipewa nafasi ya kutoa maoni yake na walifanya hivyo. Je, mawazo yote ya kila aliyetoa maoni yameingizwa kwenye Rasimu?4. Tume haikutoa sababu za kutoandika kila pendekezo kwenye Rasimu hii?5. Kwa nini tunapoteza muda mwingi kujadili swala la Muungano? Je, hatuna mambo menginemengi ya kujadili katika Rasimu hii ya Katiba? Na je, ni lini tutapata muda wa kuyajadili? Muda upo wa kutosha?6. ISHU YA MUUNGANO IMESHAJADILIWA VYA KUTOSHA, TUANGALIE MAMBO MENGINE YA MSINGI. Hapa isije ikawa ni ujaja wa kupoteza mawazo watu, wakalie jambo moja na waje kushituka muda umekwisha na Rasimu mpya haina jipya, mambo ya msingi mengine yakaachwa! Kuweni makini wote, huu ni mtego!Mhariri Mtendaji anaitwa Josia Mufungo, ila NAPE kwa hulka yake ameyasema na ndio maana yakapewa uzito kwenye gazeti la chama.Mkumbuke na Mwenyekiti wa Wazazi Taifa BULEMBO amewaambia wananchi huko Mbeya kuwa Rasimu hii ikipitishwa huduma za Shule, Zahanati, Hospitali na Halmashauri zitafutwa rasmi.Changanya wote hao utapata kuona jinsi CCM walivyojipanga kupotosha umma.kama Serikali tatu ni gharama kubwa basi tuwe na Serikali moja tu, lakini hatusemi kuundwa WILAYA NA MIKOA PIA KUONGEZA BARAZA LA MAWAZIRI kuwa ni gharama kubwa pia.
Kwa hiyo hata Jaji Bomani aliyekiri kupendelea serikali tatu hana akili timamu?