Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Du! Hilo suala lishakua sugu! Sidhani kama litatibika, sab tangu niwe na akili ya kujua hayo, nizaid ya miaka 10, hata hapa nlipo, jiran yangu amemaliza mwaka amestaafu, bt hajalipwa mpaka saiv navyo andika sms hii, saiv anauza mahindi.Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja.
"Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa."
"Naiomba serikali, Chama cha wakulima na wafanyakazi twendeni tukatende haki kwenye suala la stahiki, leo kuna watu wanastaafu wanakaa kule mpaka wanakuwa wanyawa gongo kwasababu hamuwapi stahiki zao za kuondokea kwenye vituo vyao vya kazi"
Hahahahahahahahahahahahaha...............Kustaafu bongo ni kama kupewa laan flani hivi.
Choka mbovu.
Wewe ndo umevurugwa.Nape ameshavurugwa!
Hicho anachosema hakipo??Nape ameshavurugwa!
Mbovu haswa ila hapo kasema ukweliHata kama ni saa mbovu lakini alichoongea ni sahihi.
Sema kauvaa uzalendo halisi,au tuseme karudi kwenye reli.Nape ameshavurugwa!