Nape: Watu wanastaafu wanakaa mpaka wanakuwa wanywa gongo kwasababu hamuwapi stahiki zao

Safi Nape umetumia ushawishi wako uliojariwa kuwatetea wanyonge,nimefuatilia ulichoongea ni point tupu,inshalah utalipwa.
Ikiwa pamoja na wale wazee waliokua wafanyakazi wa EAC,serikali ya Tanzania ILIIBA fedha za wazee hawa.
 
Serikali kipindi cha mwendazake ilijitambulisha kuwa ni ya wanyonge, kwa hiyo ilinyonga stahiki za msingi za makundi tofauti ya watu ikiwemo wastaafu bila ya huruma.
 
MwanaHALISI Digital tweet:

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja kwani "Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa."
 
Sasahivi kila mtu akili inarudi taratibu
 
MwanaHALISI Digital tweet:

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja kwani "Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa."

Binadamu kaumbwa kubadilika, usione ajabu.
 
Hujamsikia Gwaji boy?
 
Sema huyo alibadilika kitambo mpaka akatimuliwa kazi kutaka kuundwa tume ya kuchunguza kitendo cha makonda kwenda na bunduki mawingu akaonja joto mtaani akaomba msamaha akawa anapiga makofi kimya kimya ili apate posho...
 
Hajitambui huyu mnafiki.
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja kwani "Serikali ya CCM, ni ya wakulima na wafanyakazi, twendeni tukatende haki, haki huinua taifa."
 
Jiwe alikuwa Hana huruma kabisa na wafanyakaz , kawapora sana stahiki zao, sijui alikuwa anawaza nini
Machinga hawa wanatakiwa wawe sehemu sahihi kulingana na level yao , unakuta mtu analipa frem laki Saba , mbele yake kuna machinga analipa 50000 , af anachekelea na kujiita mpambanaji... ..Fukuza kabisa hao watu waende sehemu sahihi ya umachinga
 
Binadamu kaumbwa kubadilika, usione ajabu.
Sio hawa,hawa ni wanafiki wakubwa sana,mathalan...just mathalan leo Magufuli akifufuka utaona wanavyoenda kumuomba msamaha kwa haya wanayoyaongea sasa.
 
Kisebengo huyu alikuwa wapi kuyaongea haya mbele ya mwendazake? Kwani hakujua kwamba yametendeka kwenye awamu gani?

Back
Top Bottom