Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Hawa mabinti wa kagera kwann watu wa mikoa mingine hawawakubali hususani kwenye swala la ndoa Yan wakisikia unaoa muhaya lazima washtuke kdgo Kuna tatzo gan uko kagera??
Sio kweli Mzee. Wanawake wa kihaya wanaolewa na makabila mengine tofauti na wahaya wenzao. Kiufupi ni ngumu mwanaume mhaya ambaye ameshasafiri huko na huko kurudi kumuoa mhaya mwenzie.
 
Back
Top Bottom