Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Hivi kuna tofauti gani kati ya wapare na wagweno? Nilishawahi kua na mgweno, ni mzuri kinoma, mpole, mtu wa ibada halafu alikua ana mapenzi ya dhati sijawahi kuambiwa wala kuhisi anachepuka?
Ni makabila mawili tofauti. In short hakuna kabila la wapare.

Wapare wamekuja baada ya wazungu kuunganisha kabila kama wasangi,waasu (sina hakika kwenye spelling zake), mkwizu etc.
Makabila hayo yote pamoja na wagweno walikuwa wanaishi jimbo linaloitwa pare.

Baada ya mzungu kufika jimboni, wagweno wakatoka jimboni pare na kuamia milimani kwa haraka ili wasidhibitiwe na wakoloni.

Hapo jimboni pare ndiyo asisi ya kabila tofauti kujikuta zinaitwa wapare.

Na jinsi African generation hatupo conscious kwenye kujua asili yetu. Hiki kizazi kipya kimeshapoteza historia ya asili yake.

Sources of information:
1. My elder (Baba)
2. Kitabu cha TIE History 3 & 4.
3. Wikipedia- asili ya wagweno.
 

[emoji1]mnene mauno kama yote

Malizia basi mfupi maji ya kunde
 
Duuh yani Mahari sh ngapi sasa???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuandaa sherehe tu mil 2
 
Wanawake wakipare hawana tofauti na wairaq, rest in peace broh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…