Napeleka posa kwa binti wa kizaramo, mambo gani ya kuzingatia?

Napeleka posa kwa binti wa kizaramo, mambo gani ya kuzingatia?

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
223
Wakuu ndio najiandaa kupeleka posa kwa binti wa kizaramu wenyeji wa huko mambo gani haswa yanazingatiwa ?, heshima kwenu wakuu
 
mwanamke wa kizaramo akiaga jumatano atarudi jumatatu,anaaga nakwenda shughulini,pia kwa mwezi inabidi upange bajeti ya madira\madela manne yaani kila wiki moja,pia hawana WIKI kama nyinyi wasukuma
mkuu yana ukweli hayo ?
 
Wakuu ndio najiandaa kupeleka posa kwa binti wa kizaramu wenyeji wa huko mambo gani haswa yanazingatiwa ?, heshima kwenu wakuu
Watakupa bure huyo na hata leo unaweza kuondoka naye....
 
Unaanzajee Kuoa Mzaramo..!??? Wanashinda kwenye vigodoroo kazii kucheza Uchii njiani aisee kama sio yeye ana mambo ya kiswahili bhasi ndugu zakee.. Andaa pesaa za shughulii michango kila siku... Mimi siwezii
 
Dah!muogopeni Mungu hata kidogo,wazaramo dar hawapo,ngoma ni asili yao lakini sio vigodoro,wazaramo ni kabila kama yalivyo mengine,tena rahisi kuishi Na mwanamke mzaramo kuliko kabila lolote,hana kisa moyoni wala hila,halali Na shida mtayamaliza Na penzi atakupa ,haya mhaya Malaya,mfipa mchawi,mngoni Malaya Bora kipi?
 
Mhn! mahali haishi utalipa kidogokidogo kila wiki
 
Wakuu ndio najiandaa kupeleka posa kwa binti wa kizaramu wenyeji wa huko mambo gani haswa yanazingatiwa ?, heshima kwenu wakuu
Hahah unaenda uzaramuni, hehe mashemeji tupo bhana. Tutakusaidia hata usipokuwa mhitaji
 
kizuri mwanamke wa kizaramo haachiki atakuacha wewe tu! ndoa inaweza kufa lakini uhawala unabaki hivyo msukuma hana jeuri ya kumwacha mzaramo
 
sir venanse unaishi wapi yaani balaa kama wewe unatokea mikoa ya bara yaani kilimanjaro,Arusha,Mwanza,Ruvuma,Mbeya,Iringa,hawa watu wanaasili yao hawawezi kuvumilia shida au taabu ni raha kwenda mbele mwangalie baba yao kikwete
Mimi mwanaume wa dar mkuu
 
Ngoma tu hlf azima hata gari la rafiki yako wazaramo malimbukeni kwa wanaume wenye hela
 
Back
Top Bottom