Napeleka posa kwa binti wa kizaramo, mambo gani ya kuzingatia?

Napeleka posa kwa binti wa kizaramo, mambo gani ya kuzingatia?

Unaanzajee Kuoa Mzaramo..!??? Wanashinda kwenye vigodoroo kazii kucheza Uchii njiani aisee kama sio yeye ana mambo ya kiswahili bhasi ndugu zakee.. Andaa pesaa za shughulii michango kila siku... Mimi siwezii
Nani wa kumpinga mzee wa tunda kimasihara
 
Wasikudanganye hao tabia ya mtu ni yake yeye sio kabila, acheni uzamani, watu wanakua na ukabila kama wafanya matambiko.
alikwambia nani mzaramo ameacha matambiko!?
 
Back
Top Bottom