"Napenda anavyonitania"

Mmmmmmmhhhhhhhhhhh
ni mimi nina usingizi sana
au hii thread inanichakachua
hahaha lol
 
q : Did you find this post helpful?

a : No
 
KAMA HIVI :car::car::car: BYEEEEEEEEE!
 
km c wewe bas vyema
we haupo kwenye kund la waandika u.t.u.m.b.o...unaheshimiika michango yako mizur siku zote.
poa bas km vp :car:

Rose1980;
Hivi kumbe kuna list ya waandika utumbo humu jamvini?
 
Brother Mo!

Am not getting a thing here. Ngoja nitafute kamusi ya kiswahili
 
Rose na Shosssi sijaelewa jamani??nielewesheni basi nami nipate raha........πŸ™‚
 

Mpk sahz washakuPM wangap honestly ..... michelle,rose au husninyo
 

Maskini pole kwa ulemavu ulonao. Kuna kama ya punda na wakati we ni binadam sio sifa ni ulemavu pole sana.
 
Rose na Shosssi sijaelewa jamani??nielewesheni basi nami nipate raha........πŸ™‚

Michelle raha zinalipiwa/zinatafutwa hujaelewa kitu gani hapo? Ngoja Rose au Shosti atakupm akufafanulie.
 
Hahahahahaha una maneno wewe!

Oooohhh dear hata klorokwin haisaidii sasa
nimesoma hapo na bado na kizungu kizungu
Naogopa kiafrica africa kikija dear. ...
ndo maana nimeomba unipige tafu dear
Hahahahahh lol
 
Oooohhh dear hata klorokwin haisaidii sasa
nimesoma hapo na bado na kizungu kizungu
Naogopa kiafrica africa kikija dear. ...
ndo maana nimeomba unipige tafu dear
Hahahahahh lol

Nimecheka hivyo unavyobana pua, usijali kuwa mpole...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…