Mshikaji wangu alikuwa nanitania kwa kuniita punda. Demu wake pia nae akawa akiita punda. Siku moja jamaa yangu akamweleza demu wake kuwa wananiita punda kwa sababu nina mshobobo kama wa punda.
Tangu siku hiyo, demu wake alikuwa haishi kuniomba out, mi nkawa nachomoa kwa vigezo mbalimbali, siku moja nikaamua kuitikia wito.
Tukatoka tukaenda kula kiti moto, huko nyagi na amarula ndio zilizotawala.
Ikafika saa tano, muda wa baa kufungwa nikamuomba nimrudishe kwake, akasema, hapana, najisikia mpweke, tafuta sehemu tupumzike.
Nikamsokomeza mshobobo usiku kucha, sasa kila siku ananisumbua kuwa anataka tena, kibaya zaidi hamtaki tena jamaa yangu.
Jamani, kuwepo na mipaka wa utani, utani wako na washikaji usimfikishie demu wako, wala utani wako na demu wako washikaji wasiujue