Napenda dem mhuni

Napenda dem mhuni

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Habarini zenu wakuu,hopeful mko vizuri,,Naam nimekua na tabia ya kuwaelewa kinyama ma'manzi ambao ni ma gangstar,wahuni,,Leo On ma way road to Sinoni daraja bee fas ya chuganian kwa chalii angu mmoko ambae sijamuona siku mingi joh tangia enzi za oldskul pale Arusha sec.picha linaanza kipande icho inao mamiloo ziko mingi laana,zinaji-download,zinaji-format tu zenyewe ila zinapenda para la moto laana,ila izi soft sinaga njaro nazo,napendaga zile gangstar,,so zinahitaji mauzimbambe yakushato ya ela ote dingide,,Nikiwa nasololoa mokomoko by ngoko road nakutana na mamiloo iyo imevaa pensi imevuka magoti,kichwani ina busholi na vest flani ivi oversize imeandikwa Arusha girl apo kifuani,,nikasema yeahp!Mungu anipe nini gunia la chawa nijikune ucku kucha!?Nikampiga stop kisha nikamuomba izo ma'contact apo fiade,akanipa uku chaliako nikiwa na ujasiri utafikiri nna bangaloo mfukoni kumbe walaaa!!Kisha nikapita ivi,,Kiukweli nimemwelewa sana uyu mamsi kutokana na uhuni wake,Sio huyu tu kuna mamanzi shazi ambao nishawapenda kutokana na uhuni wao,,yaani nikiona mamiloo ana smoke weed(kush)anavaa kaptula,vest,Mabusholi,ana mitatoo ndo naona mambo ni ente yaani full kinyulaa ariff,,asa najiuliza nna tatizo gani wakuu??Mnaruhusiwa kunishauri pia huenda nimerogwa ingawa sio kirahisi na kindezi design iyo asee..!!


@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Sawa
Habarini zenu wakuu,hopeful mko vizuri,,Naam nimekua na tabia ya kuwaelewa kinyama ma'manzi ambao ni ma gangstar,wahuni,,Leo On ma way load to Sinoni daraja bee fas ya chuganian kwa chalii angu mmoko ambae sijamuona siku mingi joh,picha linaanza kipande icho inao mamiloo ziko mingi laana,zinaji-download,zinaji-format tu zenyewe ila zinapenda para la moto,so zinahitaji mauzimbambe yakushato ya ela ote dingide,,Nikiwa nasololoa mokomoko by ngoko road nakutani na mamiloo iyo imevaa pensi imevuka magoti,kichwani ina busholi na vest flani ivi oversize imeandikwa Arusha girl apo kifuani,,nikasema yeahp!Mungu anipe nini gunia la chawa nijikune ucku kucha!?Nikampiga stop kisha nikamuomba izo ma'contact apo fiade,akanipa uku chaliako nikiwa na ujasiri utafikiri nna bangaloo mfukoni kumbe walaaa!!Kisha nikapita ivi,,Kiukweli nimemwelewa sana uyu mamsi kutokana na uhuni wake,Sio huyu tu kuna mamanzi shazi ambao nishawapenda kutokana na uhuni wao,,yaani nikiona mamiloo ana smoke weed(kush)anavaa kaptula,vest,Mabusholi,ana mitatoo ndo naona mambo ni ente yaani full kinyulaa ariff,,asa najiuliza nna tatizo gani wakuu??Mnaruhusiwa kunishauri pia huenda nimerogwa ingawa sio kirahisi na kindezi design iyo asee..!!


@ChaliiYaKijengeJuu.

Graphic Designer
 
Hahaa..

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Mabadilikooooo... Kunja ngumii
IMG_20190301_234401.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom