Napenda jinsi huyu mbunge anavyoongea, Hivi yuaitwa nani?

Napenda jinsi huyu mbunge anavyoongea, Hivi yuaitwa nani?

..hata mimi simjui huyu dada.

..nimeshangaa ameachwa aongee muda wote huo bila kukatizwa na wenzake.
 
..lets be honest.

..kuna kikundi kidogo cha Watanzania kinawaogopa Wakenya.

..kipindi hicho kidogo kipo VERY VOCAL kuhusu uoga wao.

..In my opinion that group is doing more damage to Tanzanians than what Kenyans can do to us.

..Na watawala wa Tanzania pia hawasaidii chochote kuhakikisha kwamba Watanzania wanahusiana vyema na Wakenya.
 
Dah! Amefunguka balaa....ila kuna uwoga fulani baadhi ya Watanzania walilishwa tangia enzi za ujamaa dhidi ya Wakenya, na kile hunishangaza huo uwoga huwa nauona hata kwa professional Tanzanians ambao wamepitia vitabu na kupokezwa nyadhifa za kiuongozi. Msomi kwenye nchi yako unapaswa uwe wa kwanza kutokuogopa yeyote kisa ushindani, pambana na kudhihirisha uwezo huo unao.
 
Kule Bunge la Kunyaland, SGR Kunyaland ilipita hamna Mbunge alipinga!
Maullana CEO geza ulale,kaki washagaza ki hali.
Jama amenuku alivopenda mwana siasa flani.
Wewe na yeye ni makenge.
Alo bana eee, wana siasa nikama maini, jihathari maini ukiwaweka mkokononi watatereza.Ndivo waliivyo wana siasa kote duniani.
Wewe ni die hard wa chama cha madudu.
Chadema o ye.
We support chadema and ze like not a party of ccm zezetas
 
Back
Top Bottom