Dah! Amefunguka balaa....ila kuna uwoga fulani baadhi ya Watanzania walilishwa tangia enzi za ujamaa dhidi ya Wakenya, na kile hunishangaza huo uwoga huwa nauona hata kwa professional Tanzanians ambao wamepitia vitabu na kupokezwa nyadhifa za kiuongozi. Msomi kwenye nchi yako unapaswa uwe wa kwanza kutokuogopa yeyote kisa ushindani, pambana na kudhihirisha uwezo huo unao.