Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waimbaji wanajua msababishaji Uganda pipeline kuja Tanzania!Hamna shida na wimbo huu. Chama kujipigia debe si jambo la ajabu. Hata mwaka 2017 mlikuwa mnaimba Uhuruto tano tena.
Hizo ni tambo za kisiasa.
Msitake tufanane. We have our own politics you have yours.Wanapenda sana chama chao hawa, kinapendwa hadi na taasisi zote hata zile zisizopaswa kuegemea upande wowote
wanafiki hao hawapendi chama chao bali wanapenda matumbo yao.
Basi ni wewe ulie mjinga usie penda tumbo lakowanafiki hao hawapendi chama chao bali wanapenda matumbo yao.
He he kwa wakenya hii ni nostalgia ya dem dayz under one party rule.KANU chama cha baba na mama chini ya rais mtakatifu
[emoji444][emoji444]Tawala kenya tawala raisi moi... [emoji444]
Huku hakuna kitu kama hiko.
Ni tofauti kabisa hakuna mtu anayelazimishwa kumsifu Magufuli mazeh.
aisee kazi ipo mazee , kumbe ni 2019...alfu vipi namuona yule mrundi anajifanyaga mtz,amerudi humu kwa fujooo...utaskia anawatukana watz eti sio wazalendo😂....immigration dar wamelalaa sana, jamaa angefaa awe segerea au bujumbura na wenzakee.! siku akikamtwa sijui itakuwa vipi na hizo stori zake za eti yy ni muha wa kutoka kigoma! 😂Huko ambako mnatumia nguvu nyingi kulazimisha kila kitu... yaani Tanzania ya leo ni Kenya ilivyokua miaka 25 iliyopita
Tumerudi nyuma miaka 50Huko ambako mnatumia nguvu nyingi kulazimisha kila kitu... yaani Tanzania ya leo ni Kenya ilivyokua miaka 25 iliyopita
Tumerudi nyuma miaka 50Huko ambako mnatumia nguvu nyingi kulazimisha kila kitu... yaani Tanzania ya leo ni Kenya ilivyokua miaka 25 iliyopita
aisee kazi ipo mazee , kumbe ni 2019...alfu vipi namuona yule mrundi anajifanyaga mtz,amerudi humu kwa fujooo...utaskia anawatukana watz eti sio wazalendo😂....immigration dar wamelalaa sana, jamaa angefaa awe segerea au bujumbura na wenzakee.! siku akikamtwa sijui itakuwa vipi na hizo stori zake za eti yy ni muha wa kutoka kigoma! 😂
Mambo wanayoyafanya wanachama wa CCM kwa mstakwa yao wenyewe kwa ridhaa yao wenyewe, wewe usio mwana CCM wala hukushurutishwa kwa namna yoyote ile kuyafuata inakuathiri vipi?Kanisani wakiambiwa imba hawaimbi.
Wakiambiwa piga makofi, hawapigi.
Wakiambiwa simama, hawasimami.
Hebu tuachane na hayo. Hivi Republicans nao kwenye vikao vyao vya ndani Wana nyimbo za kumpongeza na kumsifia mwenyekiti?
Huko ambako mnatumia nguvu nyingi kulazimisha kila kitu... yaani Tanzania ya leo ni Kenya ilivyokua miaka 25 iliyopita