Habarini,
Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa.
Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4, yupo nyumbani tu, kiuno nyigu, chuchu saa 6, tako limechomoza, na sio singo mama, nitauza hata kiswaswadu changu ili nimuhonge.
Sijajua kwanini sahivi baadhi ya wanaume wengi kwenye kizazi hiki wana date mishangazi iliowazidi umri, au ni perepeche tu za humu mtandaoni, mdada kakuzidi miaka 3 una date nae wa nini huyo, ukute na bado unamuhonga, heri walau ingekua umemzidi mwaka 1 au mwili