Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Y2k

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
77
Reaction score
27
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka.
Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama ifuatavyo:

TANGA kuna;
1 Sumalee
2 Cpwaa{halifa ilunga}
3 Matonya{Sefu Shabani}
4 Kassim Mganga
5 Wagosi wa Kaya
6 Ring 2be aka Pete{Rashidi Ngayama}
7 Mwana FA{Hamisi Mwinjuma}
8 Bwana Misosi
9 Q Chilla{Abubakari Katwila}
10 MB Doggy{Mbwana}
11 R.O.M.A{Ibrahim Mussa}
12 Top C
13 Dr Karim
14 John Walker
15 Gelly wa rhym
16 Hemed Phd{Hemed Suleiman}
17 Sharomillionear{Mohamed Mtikey}
18 Danny Msimamo
19 ...........................
Wengine ambao nimewasahau mnaweza kuwaorodhesha, na mpia mtuletee majina toka mikoa mingine:israel:
 
MARA-MUSOMA 1. Lady jaydee 2. best nasoro 3.runguya (huyu hivi sasa ni marehemu alikuwa mpiga zeze maarufu mara na viunga vyake)
 
Hard mad,Fatma,Jay Mo,Jaffarai,TID,Inspector harun,KR,Isabela wote wamachinga
 
katabazi, saida, bushoke wa bukoba..
 
Niaje wana JF, Natumai ni wazima wa afya, nipo hapa kutaka kujua wasanii wetu wa Bongo flavour mikoa wanayotoka.
Nikiaanza na mkoa wa Tanga ambao baadhi ya wasanii asiliyao ni uko ni kama ifuatavyo:

TANGA kuna;
1 Sumalee
2 Cpwaa{halifa ilunga}
3 Matonya{Sefu Shabani}
4 Kassim Mganga
5 Wagosi wa Kaya
6 Ring 2be aka Pete{Rashidi Ngayama}
7 Mwana FA{Hamisi Mwinjuma}
8 Bwana Misosi
9 Q Chilla{Abubakari Katwila}
10 MB Doggy{Mbwana}
11 R.O.M.A{Ibrahim Mussa}
12 Top C
13 Dr Karim
14 John Walker
15 Gelly wa rhym
16 Hemed Phd{Hemed Suleiman}
17 Sharomillionear{Mohamed Mtikey}
18 Danny Msimamo
19 ...........................
Wengine ambao nimewasahau mnaweza kuwaorodhesha, na mpia mtuletee majina toka mikoa mingine:israel:

jamani bwana misosi siwa kigoma? alipiga kerere sana alivyo kosa kwenye LEKA DUTIGITE....
 
MBEYA KUNA..
1.Sugu(msanii wa kwnza wa bongo fleva kumilik gar,msani wa kwanza wa bongo fleva kufanya album as solo artst,msanii wa kwanza kuwa na album na album 10 sokon,msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwaleta wasani wa nje bongo,msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwapnga clouds hadharan kwa unyonyaj wao,msanii wa kwanza wa bongo fleva kuuza album mkonon,MSANII WA KWANZA WA BONGO FLEVA KUWA MBUNGE)..

Wengne cwataj ntajaza hapa..
 
Kigomaaaa eheeee kigomaa leta tutigikeeeeeeee,mkuu na nyie wa tanga si muanzishe yenu??
 
jamani bwana misosi siwa kigoma? alipiga kerere sana alivyo kosa kwenye LEKA DUTIGITE....

True dat hata kwenye wimbo wake alisema "kaipa kigoma nyumbani ziwa tanganyika"--Bwana Misosi
 
Arusha...joh makini, nikki 2, g nako, lord ez, jcb, mo plus, nakaya, tash, dogo janja, bonta, shah bang, genrez mwakitabu, mapacha, banx, jambo squad, stopper

hawa ni ma underground wakubwa
 
Back
Top Bottom