Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Arusha...joh makini, nikki 2, g nako, lord ez, jcb, mo plus, nakaya, tash, dogo janja, bonta, shah bang, genrez mwakitabu, mapacha, banx, jambo squad, stopper

dogo janja ni wa Kilimanjaro sio Arusha
 
Wasanii wapi ambao wanatoka kwenu mamaa
 
kigoma mmesahau Mwansiti, Peter Msechu,Chege, Queen darling,Recho na mm mwenyewe
 
Dodoma, Gwear, Ben Paul, Bushoke, mjukuu wa chimwaga(Dark Master), mez B, Mataluma,
 
Arusha...joh makini, nikki 2, g nako, lord ez, jcb, mo plus, nakaya, tash, dogo janja, bonta, shah bang, genrez mwakitabu, mapacha, banx, jambo squad, stopper

Kikosi kazi hiki sio Cha kitoto kinaongoza kwa kubaniwa., Ila natamani kweli live Show Za Wana Kilimanjaro beat Kavu.,
 
Sio kubaniwa wanaimba manyimbo ya ajabu wanabakia kusapotiwa na wakazi wa arusha tu
Kikosi kazi hiki sio Cha kitoto kinaongoza kwa kubaniwa., Ila natamani kweli live Show Za Wana Kilimanjaro beat Kavu.,
 
MWANZA

FID Q
,Mtoto wa Dandu(R.I.P),
Dudubaya
,H.baba,
Rado,
PNC,
Young killer
,Baraka da prince
,Kadgo
, malle
,Dataz,
Sajna
,Mo music
,nchama the best,
Mayunga
,Edu boy,
Khadija
 
Kaka Man, Tongolanga, Kundambanda,Leila Rashid,Zimwi, Nk toka KUCHELE
 
Back
Top Bottom