Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

jamani bwana misosi siwa kigoma? alipiga kerere sana alivyo kosa kwenye LEKA DUTIGITE....
Upo sahihi anatoka Kigoma na hata ktk album yake ya nitoke vp kuna wimbo aliimba kwa wale waliokuwa wanamuuliza kabisa lake.
 
Iringa. Beka. , Marlow , Baranaba boy , Linah( Njombe) n.k

Moro. Afande Sele, Daz Baba, Ditto, O- ten n.k
 
Hivi wakongwe jay dee, allykiba,dullysykes wao wanatokea wapi?
 
Safi hapo 100% 100%
Nimeshangaa jamaa hapo juu kadai eti kala Jeremiah ni mmakonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ni msukuma, ndomaana kuna wimbo anachomekea kilugha,

Wimbo ule ni wakitambo..kidogo
 
Safi hapo 100% 100%
Nimeshangaa jamaa hapo juu kadai eti kala Jeremiah ni mmakonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ni msukuma, ndomaana kuna wimbo anachomekea kilugha,

Wimbo ule ni wakitambo..kidogo
 
Kumbe mnaweka mastaa wote.
MWANZA
.Fid q
.kala jeremiah
.youngkiller
.coyo
.nchama the best
.edu boy
.dogo D
.sajna
.mo music
Baraka the prince
.H. baba
.Rasco
.H.chriss
.kady kwilega
.dullah mwanza
.candy
.mtoto wa dandu
.jerry tegeta
.mrisho ngassa
.dataz
.aunty ezekiel
.biznea

.........
............
...............
..................
....................
N.k
 
Hapa kuna tatizo ,je unataka walikokulia kisanii au kabila ,mfano diamond na kiba hawajawahi ishi kigoma ni wa dar,joh makini no mchaga ila amekulia na Sanaa take ni ya arusha ,hormonize on mmakonde ila na yeye mtwara anapasikia tyuu,prof j ni mngoni ila amekulia na kuzaliwa kimara ,Mr 2 lalisomea mbea ila hakuwahi Fanya sanaa huko aliibuka iringa yo rap bonanza na albamu zake zote 10 alizifanyia kazi dar na hata kabla ya mziki ashawahi Fanya kazi ya ulinzi GBP kama mlinzi wa geti
 
Back
Top Bottom