Kiongozi umepata mchumba huko niniJamani napenda kuuliza kuhusu historia ya kabila la wasumbwa hili kabila lilianza anza vipi,walitokea wapi chimbuko lao hadi kutawanyika
Maana hili kabila lipo sana urambo,kaliuwa,kahama,geita pamoja na chato .
Lakini pia ningependa kufahamu hivi wasubwa wanapatikana jamii ipi maana kuna watu wanasema wasubwa ni wahaa.
Kuna wengine wanasema wasumbwa ni jamiii ya waangaza, wengine wasukuma,wengine wasubi n.k.
Kutokana na hayo naombeni mnisaidie kunipa historia ya kabila hili la wasubwaa japo halifahamiki ile kivileee.
Mkuu unataka kuniambia wasumbwa ni jamiii ya wangoni.Back to Nguni speakers, Wasumbwa ni moja ya makundi ya wangoni yaliyoingia Tanzania.
Kumbuka wangoni waliingia Tanzania kwa makundi na kwa nyakati tofauti, moja ya makundi ya Hata ni WASUMBWA walioweka masikani yao mkoani Shinyanga hususani wilayani Kahama (zamani) na kwa sasa BUKOMBE mkoani Geita katika maeneo ya Ushirombo, Masumbwe na maeneo jirani
Mkuu hata mimi hiyo story nimewahi kuisikia kuwa wasumbwa ni wanyarwanda japo sijafahamu kama walitokea sehemu ipi ya rwandaMkuu mama yangu msumbwa wa Urambo, kiukweli Kabila hili ni gumu sana kutambua asili yake wengine wanasema asili Yake Rwanda, wengine wanasema wasumbwa ni wanyamwezi ni moja ya subtribes ya wanyamwezi kama wakimbu, wagalaganza, wanyanyembe, wasenye, wayumbu, wayubi, wayombo, warambo, du !! Ifahamike tu wanyamwezi sio kabila .....na wanyamwezi wanapatikana DR Congo Kisangani, na Wengine Huko Fortpotal Uganda
Mbona yule padri nyie mnaulizie uraia wakeKarne ya 21 tunazungumzia makabila? By J.Nyerere
Wasumbwa ni waha / wanyamwezi, waha walikuwa na kawaida ya kusafiri kutoka kwao kwa ajili ya kutafuta maslahi maeneo ya urambo na uyovu (runzewe) ikaja kutokea vita kati ya wayovu na milambo ya kugombea mipaka hiyo vita ikaamuliwa na ruhinda mtawala wa wasubi (biharamulo na chato) akawapatanisha hadi kuanza kuoleana MTOTO aliyepatikana kati ya muha na mnyamwezi naye akaanzisha lafudhi yake akikopa kwa waha wanyamwezi na wasubi kwa mfano salami anasalimu "katule" ambayo ni kama kinyamwezi au mwalala yewa ambacho ni kama kisubi na matambiko yao ni ya waha.wao hawapendi kuwalinganisha na waha ila ndo hali halisi.Jamani napenda kuuliza kuhusu historia ya kabila la wasumbwa hili kabila lilianza anza vipi,walitokea wapi chimbuko lao hadi kutawanyika
Maana hili kabila lipo sana urambo,kaliuwa,kahama,geita pamoja na chato .
Lakini pia ningependa kufahamu hivi wasubwa wanapatikana jamii ipi maana kuna watu wanasema wasubwa ni wahaa.
Kuna wengine wanasema wasumbwa ni jamiii ya waangaza, wengine wasukuma,wengine wasubi n.k.
Kutokana na hayo naombeni mnisaidie kunipa historia ya kabila hili la wasubwaa japo halifahamiki ile kivileee.
Tofautisha Uraia na Ukabila wewe ukiwa mkikuyu au Mtutsi lazima tukujue kwa Usalama wetu sisi, Watanzania ambao makabila kwetu ya ndani sio inshuMbona yule padri nyie mnaulizie uraia wake
Exactly, wangoni walitapakaa toka Songea hadi Kenya ila kundi dogo likajikata na kuweka masikani Kahama (Masumbwe, Runzewe-Geita kwa sasa) na Hawa ndo wasumbwa leo hiiMkuu unataka kuniambia wasumbwa ni jamiii ya wangoni.
Kaka buana...sio mabandidu kama wajaluo?Kabila hilo Wana sifa kubwa moja kubwa, hawatahiri
Nimeipenda hii historia uliyoweza kunipatia sasa nimeanza kupata picha kamili maana hata wakati nipo urambo picha ya wasumbwaWasumbwa ni waha / wanyamwezi, waha walikuwa na kawaida ya kusafiri kutoka kwao kwa ajili ya kutafuta maslahi maeneo ya urambo na uyovu (runzewe) ikaja kutokea vita kati ya wayovu na milambo ya kugombea mipaka hiyo vita ikaamuliwa na ruhinda mtawala wa wasubi (biharamulo na chato) akawapatanisha hadi kuanza kuoleana MTOTO aliyepatikana kati ya muha na mnyamwezi naye akaanzisha lafudhi yake akikopa kwa waha wanyamwezi na wasubi kwa mfano salami anasalimu "katule" ambayo ni kama kinyamwezi au mwalala yewa ambacho ni kama kisubi na matambiko yao ni ya waha.wao hawapendi kuwalinganisha na waha ila ndo hali halisi.
Nimelewa sana kaka lakini mbona wanazungumza kisukumaaExactly, wangoni walitapakaa toka Songea hadi Kenya ila kundi dogo likajikata na kuweka masikani Kahama (Masumbwe, Runzewe-Geita kwa sasa) na Hawa ndo wasumbwa leo hii
Hao wote ni walowezi kutoka kusini. Walipokuja Tanganyika waligawanyika sehemu mbali mbaliNimelewa sana kaka lakini mbona wanazungumza kisukumaa
Na kinyanwezi tuu.
Tofauti na kingoni
pole yako wasubi lugha yao inarandana na kihaWasubwa ni jamiii ya wachagga iliyoloewaaa usukumani .
Na lugha yao inafanana na wachagga