msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Kusini wapi ndugu weka wazi hapaHao wote ni walowezi kutoka kusini. Walipokuja Tanganyika waligawanyika sehemu mbali mbali
1. Wasukuma (maana yake kasikazini) hao inazungumzia wasukuma waliolekea pande za kaskazini (shinyanga na mwanza kidogo)
2. Wadakama (Wanyamwezi) Dakama means kusini (hawa waliweka maskani yao magharibi ya tz
3 Banakiya (wa masharikii) hii inajumlisha wanantuzu wote (bariadi na meatu)
4 Banamweri (hii inamaanisha magharibi) hapa utawapata wasumbwa, wasubi, Wazinza
Ukifuatilia hao wote kuna mwingiliano mkubwa sana katika lugha yao na kwa kiasi kikubwa wanaelewana (wasukuma, wanyantuzu,wanyamwezi, wasumbwa etc)