Napenda kufahamu historia ya kabila la Wasubwa lilipo Tabora,Shinyanga na Mwanza

Kusini wapi ndugu weka wazi hapa
 
Nimelewa sana kaka lakini mbona wanazungumza kisukumaa
Na kinyanwezi tuu.

Tofauti na kingoni
Huku kumetokana na mwingiloao ma makabila waliyoyakuta (wasukuma na wanyamwezi) lakini hata hivyo kina utofauti mkubwa sana wa lafudhi ma misamiati miongoni mwa kisumbwa, kisukuma na kinyamwezi. Wanelewana kea mbali sana, sawa tau ma mngoni, myao, mmatengo kule Ruvuma
 
Origin ya Wasumbwa ni Ngoni. Ngoni movements ina husisha Wings 2. Eastern iliyoishia Dodoma na Western iliyozaa wafipa, wasumbwa, wanyiha, .
 
Origin ya Wasumbwa ni Ngoni. Ngoni movements ina husisha Wings 2. Eastern iliyoishia Dodoma na Western iliyozaa wafipa, wasumbwa, wanyiha, .
Exactly, hawa ni ngoni ila wamepewa jina "wasumbwa" kama tu wanyiha, wafipa na hata wale walioko Kenya ila wote ni Nguni au Ngoni speakers
 
Historia inaonyesha kuna kundi la wangoni walielekea kahama na tabora wakimsaidia chifu wa huko kwa sababu ya ujasiri na utaalam wao wa kivita.

Jamaa walikuwa hatari sana kukutana nao.

Hebu weka baadhi ya maneno wanayotumia hao wasumbwa tuone kama yanashabihiana/kufanana na ya wangoni.
 
Hak
ika wewe ndiye mkweli
 
Tyani.vipi? Yewa wewe mwalalaa zaasubuh tuzyee tugone twende tukalare Nami nimonimo
 
Hao ni watuta siyo wasumbwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msumbwa anaelewana zaidi na mnyamwezi ila mila na tamaduni hakuna tofauti kubwa kwa wote wasukuma, wanyamwezi, wasumbwa na hata warongo na wazinza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakuwa wengi hivyo walimezwa na wanyamwezi. Na kisukuma chao ni tofauti na kisukuma cha Mwanza.
Wasumbwa wanaongea lugha yao ya kisumbwa ila wanajua kuzungumza kisukuma kwa sababu ndio lugha kuu ya maeneo wanayoishi. Msukuma hawezi kuongea kisumbwa au kirongo na kizinza lakini kwa kuwa makabila hayo ni madogo wanaongea kisukuma vizuri tu maana wasukuma ndio wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa.
 
Na wanyamwezi wanatokea Gaboni,west-central Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…